we ndo umekariri habari. hili ni jukwaa la mahusiano, urafiki na mapenzi.Umepotea njia mkubwa... Hii thread ipeleke kwenye mabiziness kule
Kwa huku nilipo kwa sasa (machame), hiace zina dili karibu na mwisho wa mwaka, miezi mingine ni mizunguo kiasi japokuwa haukosi kabisa.
kiasi Kwa siku inategemea mambo mengi ila haukosi elfu 20 japokuwa waeza pata hata zaidi ya elfu 50.
Kikubwa uwe na dreva na konda waliochangamka na waaminifu.
we ndo umekariri habari. hili ni jukwaa la mahusiano, urafiki na mapenzi.
sio kua mahusiano na urafiki unaozungumzwa hapa ni romantikitu!
na urafiki pia haupo limited into romance peke yake.
kama marafiki tunaweza zungumza na kusaidiana mambo mbalimbali ndani ya jkwaa hili.