Unamtafuta kwa Heri au
Shari; Nadhani ukielezea kama ni Shari (na alkutenda nini) wadau wapenda
haki watakutaarifu na kama ni Heri hata yeye kama yupo humu au rafiki /
ndugu zake watakutaarifu..., Vinginevyo mtu anaweza akawa anakwambia
mtu yupo wapi ili ukamdhuru
Hapo hii imekaa vema..., yaani hata marafiki zake au wanaoujua alipo watakusaidia bila shakaaaaaaha! nimecheka ila umeongea vitu vya msingi sana Ndg,mi namtafuta kwa heri yeye alinisadia kipindi ndo naenda kuanza advance pale Shybush,so nataka japo nimkumbuke pia kwa fadhili zake,ni hayo tu.
Miaka hiyo nilikua sijaja shinyanga but una moyo wa kitume kaka big up