Kwa Wakenya Wote, Nawatakia Jamhuri Day Njema

Kwa Wakenya Wote, Nawatakia Jamhuri Day Njema

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Happy Jamhuri Day Kenyans! [emoji1139][emoji1139][emoji1139] Lets all remember this day, many years ago, when we officially became a republic. Let us not forget all those who paid the ultimate sacrifice so that we could enjoy self rule and free ourselves from the yoke of the colonialist. Viva Kenya!
 
Shukrani kaka, leo kwangu tulianza siku kwa kukumbushiana haya mambo ya uzalendo, ila niliachwa kinywa wazi kwa wanangu kuimba wimbo wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakati mimi siujui hata pakuanzia.
 
Back
Top Bottom