pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Happy Mashujaa Day!
Ndio ile siku tena, tarehe ishirini mwezi wa kumi, Mashujaa Dei. Tukumbuke kuwaelimisha watoto wetu kuhusu historia ya nchi yetu na wale wote waliofanikisha tufike tulipo sasa hivi kama wakenya. Kung'u Karumba, Achieng' Aneko, Bildad Kagia, Waruhiu Itote, Pio Gama Pinto, Jaramogi Oginga Odinga n.k bila kumsahau.....
Field Marshal Dedan Waciuri Kimathi na jeshi lake la ukombozi, Mau Mau.
Mungu alibariki taifa letu tukufu la Kenya.
