Hao wadada wa aina hiyo hawana lolote zaidi ya kupigia hesabu waume/wapenzi wa watu, tena wanakuwa wameshajiandaa hata kabla hujaanza kumtaka.
Na wanawake wa dizain hiyo huwa hawapendi wanawake wenzao
Mh, CPU, mbona we umeoa lakini nilikubali haa haaa au ndo unataka kunimwaga wangu?
Daaah! Ona sasa jamaaaaaaaaniiiiiiiiiiii . . . . .khaa! Umeshaniumbua mwenzio sasa Mamushka
Ila mi nilisemaga tu nimeoa siku zile tu, saa hizi sijaoa lol
Hahaaa kumbe ulikua unanidanganya umeoa ili nisiweke kambi mh sikuamini.
nilikuwa nakusikilizia utaleta vesi gani . . . . kimoyo moyo nilikuwa nimeshakuzimikia lol
Heeee heee haya bwana.
wote wako likely kuumiza mwanamke.......unajua wasichana wenye attitude hiyo hawapendi pia usumbufu au yale majukumu ya kuwa mke.....wanapenda uhuru wao na fact kuwa wanafanya maamuzi yao wenyewe si kwakuwa ni wajibu kufanya......wazee wanatunza pia,hawana conditions lukuki na kukuganda kwa sana pia shughli yao si kubwa kwa walio wengi,wanalinda ndoa zao kwa wale wasio kuwa na wake kwahiyo adabu debe ili usilete za kuleta kwa nyumba kubwa......Babu laooooo.......upo juu na huyo bidada wako.....:laugh::laugh:
Michelle yawezekana sisi ni ndugu, hebu tufanye mpango urudi nyumbani!!!
Haiwezekani ukawa unawaza na kufikiri ka ninavyotaka kufikiri........:clap2::clap2::clap2::clap2:
.Nilishatambua siku nyingi mimi nawewe twaweza kuwa ndugu....ila nikaona nisiwe na speed sana.....nafurahi uki-comment na napenda busara zako na pale unaponitakia baraka....it makes me feel good.....nitarudi nyumbani usijali,unajua tena hawa baba zetu.....huwezi jua...
Nilishatambua siku nyingi mimi nawewe twaweza kuwa ndugu....ila nikaona nisiwe na speed sana.....nafurahi uki-comment na napenda busara zako na pale unaponitakia baraka....it makes me feel good.....nitarudi nyumbani usijali,unajua tena hawa baba zetu.....huwezi jua....lol