Kwa wakina dada tu; Kuna nini kwa waume wa wenzenu!!!

eeh kumbe wankwepa majukumu eti
hao ni vicheche hawawezi kukaa na mmoja wakamtunza kama mume....wanachukua waume za watu kukwepa commitments....mume akiwa na mkewe na yeye anakuwa na uhuru wa kufanya atacho!!.....:coffee:
 

hapo kwenye red hapo, je unayoyaongea ni ya ukweli weye?
 
Cku unarudi nambie tuandamane ili ukanitambulishe kabisa.

sawa Tuko,wakati umefika wa wazazi kufahamu anayemsumbua mtoto wao na kumkuza......:laugh::laugh:
 
Sasa hili demu linalonichukulia mimi mume wangu mbona halijui haya na ni msomi? au degree zile za chupi? khaa chalii hakuna rangi naacha ona aisee! ila mwaka huu haupiti nina mpango kabambe tehetehetehe

Wasomi si malaika Gaga,ni binadamu na wao wana mapungufu.....ile ishu tuendelee kuomba,najua unaumia sana lakini Mungu ni mwema....hasira isikutume kufanya utakayojutia my sister......Keep up the faith....huo mpango nishirikishe basi....penye wawili.....l.o.l
 
Michelle nakupenda......mm ni mume wa mtu!
 
Hii dunia ya leo imekaa kibiashara zaidi...watu wanaogopa commitment maana mahandsome wanaonekana kila siku barabarani. Itakuwaje kama **** mtu barabarani amekurusha roho na wewe unajida una commitment?
Ndio maana watu wanachukua njia rahisi. Unatafuta mtu ambaye hakabi mpaka penalti halafu unakula raha kwa kwenda mbele.
 
Eeeh! Hata first lady wa USA hela inamsumbua???

Hela ya mpenzi ina raha yake.....ajitahidi tu....mimi napenda awe juu.....sasa nikitoa hela mimi,uanaume wake ndo upi???:laugh::laugh:
 
Nani kakwambia kuna mwanaume wa mwenyewe hapa tanzania?watu kibao wamejimilikisha maubavu ya wenzao,kwanini na sisi tusishee huku tukipima km ndio ubavu wetu!mwanamke mjanja haitaji sharobalo wala mnuka maziwa ya mama eti awe mpenzi.alwayz sharing is caring,na binadamu sio kiwanja mpaka ujimilikishe .punguzeni ubinafsi wanaume wenyewe wako wachache,mnataka wengine tuwe watawa?
 

Kazi kweli kweli.......:laugh::laugh::laugh:
 

Hahahaaaaaaaaaa lol
 

Mbona mimi ni mwanaume wa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…