Kwa wakina dada tu; Kuna nini kwa waume wa wenzenu!!!

Hapa dada zangu ndo huwa mnanichanganya kabisa,
Mpo mbele kupinga tabia ya wanaume kutoka nje ya ndoa zao,
lakini bado mnasema kuwa hakuna mwanaume wa mwenyewe hapa Tanzania lol...!
Nachanganyikiwa kabisa!!!!!!!
 
Mpwa haina haja ya kuchanganyikiwa,wewe si mwanaume wa mwenyewe l.o.l
 
wazee wanatunza kuliko vijana hilo mimi pia nalijua. but i cant dare do that myself.
 
Du!, hata mimi nimeshuhudia haka katabia!, wapo wengi ni kama ka fasheni fulani hivi, ila kilichowazi huwezi wakuta kwa mwanaume mtu mzima asiye na pesa, wote ni kwa wenye nazo

Haswaaaaa ukiona hivyo ujue kuna kitu wanatafuta wala hapo hamna penzi la ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…