Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

michelle sawa ila hujajibu swali lote ka uhusiano upo how?
Una uhusiano...ila yabidi kuwa makini wakati mwingine au kwa baadhi ya watu ni kero!:juggle::lol:
 

Mimi huwa napenda mlio wa Engine ya Leyland......hasa pale inapo-change gia ama pale inapolalamika ikipanda mlima! raha balaaa
 
Unapaswa kuwa unabadiri oil kila mwisho wa wiki mkuu, au kama unalo moja nunua lingine lenye mlio tofauti
sawa bukanga naomba majibu kwa hoja ya msingi
 
Tafsida nzuri sana hii, ila safari ikiwa kimya kimya wala hata haipendezi. Ila mlio wa injini ya gari uwe na uhalisia, ikiwa ni ule wa kumodify mafla unakata stimu.
 
Nashukuru mkuu kwa mchango wako makini.:lol:
 
Ha ha haaa umenifurahisha papa:lol:
Mimi huwa napenda mlio wa Engine ya Leyland......hasa pale inapo-change gia ama pale inapolalamika ikipanda mlima! raha balaaa
 
magari mengine hulia kama pikipiki ya mjapani ukichanganya na honi ya mchina ...lol
 
magari mengine hulia kama pikipiki ya mjapani ukichanganya na honi ya mchina ...lol
Lol Elia hapo mtu umeingizwa kingi na spidi mita ya hiyo gari wajanja wameishaichezea kuonyesha imetembea kilometa 50,000 kumbe imetembea kilometa 500,000
 
Mwenzenu nikipanda magari yenye milio mikubwa sifikagi mbali. Yaani kidogo tu..chali. nishafika.
 

Huo ndio ukweli mkuu gari bila mlio utajuaje kama limewaka... na lazima kuwa na milio tofauti likiwa silence wake na ukiweka gia unabadilika kufuatana na gia yenyewe.... four wheel drive nayo ina mlio wake.... Hivyo mlio ni jambo la muhimu sana :tongue:
 
Kwa kweli sauti inahusika sana, lakini pia harufu ya oil, na jinsi inchini yake inavyovuja maji ni maswala mengine ya kuzingatia....!
 
Nimeipenda hii mkuu, kuna milio ya wizi wa nauri ya biria. Ila kiujumla milio ya gari ya kiukweli inahamasisha safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…