Kwa wakubwa tu!!!!!!!!!!!!!!!

Magari mengine yanakuwa na miss hadi safari iishe loh balaaa
 
CPU trekta tena?si hata simba wa mbagala anaweza kukurukia kama ni usiku?wengine wanapenda vitu vya speed.Pia kuna magari ya kisasa wanavodai hakuna mlio kabisa ni vitendo tu.Ila natoa angalizo kwa madereva wanaopenda kuondoka na gear namba 5 mnahatarisha injini zenu.
 
Magari yalivyo tofauti na milio ni lazima itofautiane, uhusiano wake ni mkubwa ktk safari, kila mlio una raha yake kwa mwenye gari, ila ukibadilika tu safari haipendezi.
 
Asante salam kwa GEORGE POJI
Magari yalivyo tofauti na milio ni lazima itofautiane, uhusiano wake ni mkubwa ktk safari, kila mlio una raha yake kwa mwenye gari, ila ukibadilika tu safari haipendezi.
 
Nimeipenda hii mkuu, kuna milio ya wizi wa nauri ya biria. Ila kiujumla milio ya gari ya kiukweli inahamasisha safari

Kweli huwezi choka haraka utastuka ishafika gia ya 4 bila kujua!!! Nikikumbukia ninavoingiza namba moja mlio unaotoka hamasa tosha kutupia mbili!!!
 
kuna hizi basi za abiria wa mikoani ama malori ya mizigo. Huwa mnayasikia wakati yanasimama au kuondoka?
 
jiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, tututututututut, tatatatatatata, ahhhahhhahhhhahha, sshhhhhhhhhhhshshsh!
 
Ukiona hivyo uje kuna kitu anataka kumnyima
 
Umenichekeeesha, umenikumbusha jirani yetu mmoja miaka michache kidogo iliyopita alikuwa na foorofoo yake ambayo haipigi stata. Kwa yeye ni mfanyabiashara kwa hiyo alikuwa hawahi sana kuondoka. Kwa hiyo kabla watoto hawajaenda shule ni lazima wasukume gari liwake kisha likae sailensa kumsubiri mzee hadi atakapoondoka kwenye saa mbili hivi.
 
Ngoja tusubiri wafanya biashara wanauzoefu zaidi hapa wanaweza kujibu,mwenye usafiri private hawezi kujibu hapa.
kuna hizi basi za abiria wa mikoani ama malori ya mizigo. Huwa mnayasikia wakati yanasimama au kuondoka?
 
mlio ni muhimu ila ukizidi sana unakuwa kero sio kwa msafiri tuu bali hata kwa watenbea kwa miguu
 
Mfano wa mlio kwenye safari. Soma pia hizo sub titles.


 
Last edited by a moderator:
Mmeshau advert ya TBL miaka ile?... Safari ni safri! Mlio wa nini bwana! sasa wachina wanaangalia jinsi ya kutengeneza magari yasiyotoa mlio kabisa, au kama mlio upo wanaweka sound proof. Kelele za nini wakati wa safari? Mwishoe ufike kichwa kikiuma!

Kimya kimya ndo mwendo... wewe unapambana na gia tu, Kama ni automatic then ndo shwari kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…