Mimi nakusifu sana kwa tafsida,ila inaonekana wewe ni fungi magari au derefa(driver)maana ulivyorelaty wacha kabisa!Habari ya mchana,asubuhi etc wana jf.Naamini Mola anaendelea kuwapa uhai japo wakati mwingine mnasahau kumshukuru na kutubu kwa kuvunja amri ya 7 kwa kujitambulilisha jukwaani kwa majina yasiyokuwemo kwenye vyeti vyenu vya kuzaliwa.
Tuachanane na hayo,hoja yangu leo ni kuhusu milio ya magari na wasafiri.Yapo magari aina nyingi kama scania,fiat,Nissan march,Toyota hilux,Suzuki escudo,Nissan murrano,Leyland na mengine mengi.Ishu inakuja wakati wa safari kuna magari yanamlio mkubwa tangu mwanzo wa safari hadi mwisho,mengine hata kama hayana mzigo mkubwa yanalia kama yana tani 200 za sukari,mengine yanalia kama vile yapo na speed 160km/hr kumbe unaweza kukuta ni speed 20 tu.Mengine yanaunguruma kama simba,mengine yanatoa sauti kama vile gear imeingizwa bila kukanjangwa clutch,mengine mlio kama mafla zimepasuka,mengine kama vile yanatembelea rim.
Namengine yenyewe ni kimya kimya tu liwe na mzigo ,kona kali,mteremko mkali lenyewe ni kimya tu.Na mengine likiwashwa tu basi wapangaji woooote watajua baba,mama,dada au kaka flani kaanza safari
Swali ni hivi,je sauti na mlio wa gari au ukimya wa gari wakati wa safari unauhusiano wowote katika kumpa hamasa au kumwondolea raha msafiri?
Nawasililisha hoja kwa yeyote atakaye husika.
Una uhusiano...ila yabidi kuwa makini wakati mwingine au kwa baadhi ya watu ni kero!:juggle::lol:
Mhh we kiboko unatoaga wapi hizi? haya bwana ila bahati mbaya nilisoma science
Mkuu hilo si tatizo...mbona Mkwere anayo!!!
Sema wewe Mkuu Papa Diana
Hizi Degree za heshima haziangalii ulisomea Udaku au Usharobaro
Unatunukiwa tu kwa kazi yako/mchango wako hata kama ni nje na professional yako.
Kama wewe ni Engineer, lakin ukatoa mchango mkubwa au ukafanikiwa kusuhulisha mgogoro uliowashinda hata wanasiasa wangongwe duniani lazima utunukiwe.
Kama wewe ni daktari wa mifupa ya binadamu lakin ukagundua mbinu mpya ya kuwadhibiti waasi waliojaribu kuteka mkoa wa kagera, Jeshi litakutunuku
Chiwaso bwana l.o.lUkiona hivyo uje kuna kitu anataka kumnyima
Ahaaa ahaaa ahaaa l.o.l haya banaaaMmhhh
my dear mie napenda mkokoteni..
daytime yake ni kwa staji na step za mtu ..
haitumii petrol,disel, mogas, avgas au mafuta ya taa.
is not made in japan or german..
kwa hiyo sio artificial..
I love it coz is hand made
original from TZ ..
Sauti yake ni minimum..
Hau hitaji ku do service every six mnth..
lifetime insurance..
duhh ngoja ninywe maji ..
Habari ya mchana,asubuhi etc wana jf.Naamini Mola anaendelea kuwapa uhai japo wakati mwingine mnasahau kumshukuru na kutubu kwa kuvunja amri ya 7 kwa kujitambulilisha jukwaani kwa majina yasiyokuwemo kwenye vyeti vyenu vya kuzaliwa.
Tuachanane na hayo,hoja yangu leo ni kuhusu milio ya magari na wasafiri.Yapo magari aina nyingi kama scania,fiat,Nissan march,Toyota hilux,Suzuki escudo,Nissan murrano,Leyland na mengine mengi.Ishu inakuja wakati wa safari kuna magari yanamlio mkubwa tangu mwanzo wa safari hadi mwisho,mengine hata kama hayana mzigo mkubwa yanalia kama yana tani 200 za sukari,mengine yanalia kama vile yapo na speed 160km/hr kumbe unaweza kukuta ni speed 20 tu.Mengine yanaunguruma kama simba,mengine yanatoa sauti kama vile gear imeingizwa bila kukanjangwa clutch,mengine mlio kama mafla zimepasuka,mengine kama vile yanatembelea rim.
Namengine yenyewe ni kimya kimya tu liwe na mzigo ,kona kali,mteremko mkali lenyewe ni kimya tu.Na mengine likiwashwa tu basi wapangaji woooote watajua baba,mama,dada au kaka flani kaanza safari
Swali ni hivi,je sauti na mlio wa gari au ukimya wa gari wakati wa safari unauhusiano wowote katika kumpa hamasa au kumwondolea raha msafiri?
Nawasililisha hoja kwa yeyote atakaye husika.
you related or what....:gossip:
Ahaaa ahaaa ahaaa l.o.l haya banaaa
michelle sawa ila hujajibu swali lote ka uhusiano upo how?
Na mimi namsubiria l.o.lhe he he he its becoming an issue now....we are related by Key board.....anything else?.....nakusubiri Kaizer!!!:smash::focus:
Siku hizi mtaa ninaoshi mimi hauji kunitembelea au kwa vile nimehama nyumbani na pia yule mtu karudi ndio hata usije kunisalimia