S subzero Member Joined Jan 15, 2011 Posts 86 Reaction score 4 May 21, 2016 #1 Habari za sahizi. Natafuta watu wanaoweza kuniletea zao la dengu kwa kiasi chochote kinachopatikana. Pia tunaweza kufwata uliko. Kama kuna mtu unamfahamu tafadhali wasiliana nami tuongee vizuri 0625748072
Habari za sahizi. Natafuta watu wanaoweza kuniletea zao la dengu kwa kiasi chochote kinachopatikana. Pia tunaweza kufwata uliko. Kama kuna mtu unamfahamu tafadhali wasiliana nami tuongee vizuri 0625748072
araway JF-Expert Member Joined Sep 26, 2007 Posts 534 Reaction score 144 May 29, 2016 #2 Ubapatikana wapi mkuu. Ukukwetu tunaanza kuvuna mwezi wa saba mwishoni.
bintishomvi JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 1,164 Reaction score 833 May 29, 2016 #3 Avumilie