Kwa wakulima tu: Dawa ya kudhuru mifugo shamban

Pharm D

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,235
Reaction score
3,008
Ndugu zangu wakulima hii jamii ya watu wanajiita wafugaji hasa wa kabila la kimasai wamekuwa ni kero sana kwan mara nyingi wamekuwa na tabia zisizo za kiungwana mara nyingi huingiza mifugo yao kwny mashamba yetu...
Leo nmeghadhibika mno baada ya kukuta kitalu changu cha mpunga kimepitiwa na ng'ombe na baadh ya miche kuharibiwa kabisa kwa kuliwa na kukanyagwa na mifugo yao...
Kwa bahat mbaya wakat nafika eneo la tukio nlikuta uharibifu umeshafanyika na sikukuta mifugo wala mtu yoyte pale shamban hvyo nkakosa ushahid wa nan hasa mhusika mkuu wa uharibifu ule na ndipo nlipokuja na hili wazo!

Kuna dawa moja inaitwa indomethazine au indocid ni dawa ya kawaida kabisa kwa binadamu lkn ni vr effective poison kwa panya nadhan heunda pia ikawa effective poison kwa mammalia wengine including hii mifugo wanayotusumbua nayo...

Nmejaribu kugusia hii indocid kama mfano lkn huenda kukawa na dawa nyingne ambayo imethibitika kuwa sumu kwa mifugo na salama kwa binadamu ili tutumie hyo mbinu kuwafundisha hawa wafugaji namna bora ya kuheshimu mazao yetu...

Kwa yoyote mwenye mifano mingne tujuzane hapa jaman nna ham nao sana hawa wehu
 
Sumu mbaya kwa wsnyama wsharibifu ni asali. Paka asali kuzunguka maingilio ya wanyama alafu utakuja kuniambia. Jiandae kuzika mizoga
Asali ni ghali sana. Nyunyiza Thiodan au dawa yenye sumu kali kwenye mazao yaliyoko mstari wa mwanzo kisha angalia usje dhuru wanaokuhusu. Kalaleeee halafu usubiri kufikishwa kwa Mtendaji wa Kijiji!!!!
 
Ndio maana wakulima na wafugaji wanauana, inakera sana yaani, wafugaji ng'ombe wa kienyeji wapuuzi sana, hususani wamang'ati, juzijuzi tu hapa shambani kwangu wameingiza ng'ombe zaidi ya 50, ekari tano zenye mahindi na muhogo zikaharibiwa vibaya, siku nikikamata gobore kama mbwai na iwe mbwai.
 
Hiyo thiodan sio sumu kwa binadamu? Maana nnachohitaji ni kwamba hata kama nkipiga hyo dawa shamba zima mazao yake yawe salama kwa matumiz ya binadamu
 
Asali ipi boss ya nyuki wadogo/kubwa na naweza kuidilute na maji ili iwe nyepesi na rahis kunyunyiza?
 
Kuna mahali nililima maharagwe na lilikua shamba la nyumbani kwa maana ya kwamba karibu na makazi yangu.
Nyumba ya tatu kutoka kwangu kulikua na jamaa mmoja alie kua akijifanya kichwa maji sana alikua amefuga kuku na alikua akiwaachia mda wote wanazulula mtaa mzima.
Wakulima wengi walikua wamesha mpigia kelele za kutosha wakimtaka afungie kuku wake kwa wakati ambapo maharagwe yanaweka maua lakini alikua akijibu nifungie hao wamekua mbuzi.
Maharagwe yangu yalipo fikia hatua ya kubeba watoto nilimfata nikimtaka afungie kuku wake na bado hata mimi pia alinijibu kwa dhalau, ndipo nilipo amua kutafuta manati na kuwinda kuku walio kua wakila maua ya maharagwe yangu.
Cha kwanza nilipiga na kuua kuku alie kua na vifaranga kumi pamoja na jogoo watatu na huo ndio ulio kua mwisho wa mgogoro wetu.
Jifunze kuishi na watu wenye akili za aina mbali mbali, kuna baadhi huhitaji kushauliwa na kutumia maamzi ya busara katika kutatua matatizo kuna baadhi hawataki hilo
 
Sumu mbaya kwa wsnyama wsharibifu ni asali. Paka asali kuzunguka maingilio ya wanyama alafu utakuja kuniambia. Jiandae kuzika mizoga
Mtoa mada, ushauri huu aliokupa mdau ni wa kweli Kabisa na unafanya Kazi asilimia mia moja. Karibu hautojutia. Tumia asali ya kawaida tu, siyo lazima ya nyuki wadogo.
 
Hiyo thiodan sio sumu kwa binadamu? Maana nnachohitaji ni kwamba hata kama nkipiga hyo dawa shamba zima mazao yake yawe salama kwa matumiz ya binadamu
Hiyo ni sumu. Kwa maana inaua viumbe hai. Nilishawahi kuitumia kwa tatizo kama hilo la kwako. Lakini mistari ya miche ya mahindi yenye sumu niiliweka alama na baada ya zoezi kufanikiwa niliondoa miche iliyobaki.
 
Mtoa mada, ushauri huu aliokupa mdau ni wa kweli Kabisa na unafanya Kazi asilimia mia moja. Karibu hautojutia. Tumia asali ya kawaida tu, siyo lazima ya nyuki wadogo.
Kama hutojali ingependeza utuambie inatumikaje, unanyunyiza hivyo hivyo au waweza dilute kwa maji
 
Asali ni ghali sana. Nyunyiza Thiodan au dawa yenye sumu kali kwenye mazao yaliyoko mstari wa mwanzo kisha angalia usje dhuru wanaokuhusu. Kalaleeee halafu usubiri kufikishwa kwa Mtendaji wa Kijiji!!!!
Thiodan dawa ya kitambo sana. Kumbe bado ipo?
 
Dawa rahisi ya kuwafukuzapanya au vcheche ni kuwawekea mwanga me natumia solar au taazinazowaka waka na kuzima
 
Mtoa mada, ushauri huu aliokupa mdau ni wa kweli Kabisa na unafanya Kazi asilimia mia moja. Karibu hautojutia. Tumia asali ya kawaida tu, siyo lazima ya nyuki wadogo.
Vipi hiyo asali inaua na panya?
 
Dawa rahisi ya kuwafukuzapanya au vcheche ni kuwawekea mwanga me natumia solar au taazinazowaka waka na kuzima
Vipi hata vile vitaa maarufu kwa jina "disco" yaani vile uwa vinakaa kwenye maua ya christmas navyo vinafaa? Wengine wanasema ukiweka vile vispika vya wamachinga ukajirekodi kwa kurembua sauti ukawa umeweka sauti ya kurudiarudia ya "nyiiiaaau, nyiiiaaau..." panya wote watatoweka.
 
Ndio maana wakulima na wafugaji wanauana, inakera sana yaani, wafugaji ng'ombe wa kienyeji wapuuzi sana, hususani wamang'ati, juzijuzi tu hapa shambani kwangu wameingiza ng'ombe zaidi ya 50, ekari tano zenye mahindi na muhogo zikaharibiwa vibaya, siku nikikamata gobore kama mbwai na iwe mbwai.
ha ha ha! watu mmevurugwa kweli kweli
 
Vipi hata vile vitaa maarufu kwa jina "disco" yaani vile uwa vinakaa kwenye maua ya christmas navyo vinafaa? Wengine wanasema ukiweka vile vispika vya wamachinga ukajirekodi kwa kurembua sauti ukawa umeweka sauti ya kurudiarudia ya "nyiiiaaau, nyiiiaaau..." panya wote watatoweka.
ha ha ha! eti ujirekodi sauti ya nyiiiau!

sasa hako karedio si katawastua mpaka watoto kama wapo?
 
Kuna mahali nililima maharagwe na lilikua shamba la nyumbani kwa maana ya kwamba karibu na makazi yangu.
Nyumba ya tatu kutoka kwangu kulikua na jamaa mmoja alie kua akijifanya kichwa maji sana alikua amefuga kuku na alikua akiwaachia mda wote wanazulula mtaa mzima.
Wakulima wengi walikua wamesha mpigia kelele za kutosha wakimtaka afungie kuku wake kwa wakati ambapo maharagwe yanaweka maua lakini alikua akijibu nifungie hao wamekua mbuzi.
Maharagwe yangu yalipo fikia hatua ya kubeba watoto nilimfata nikimtaka afungie kuku wake na bado hata mimi pia alinijibu kwa dhalau, ndipo nilipo amua kutafuta manati na kuwinda kuku walio kua wakila maua ya maharagwe yangu.
Cha kwanza nilipiga na kuua kuku alie kua na vifaranga kumi pamoja na jogoo watatu na huo ndio ulio kua mwisho wa mgogoro wetu.
Jifunze kuishi na watu wenye akili za aina mbali mbali, kuna baadhi huhitaji kushauliwa na kutumia maamzi ya busara katika kutatua matatizo kuna baadhi hawataki hilo
ha ha ha! jamani bangi hizi, nimecheka sana
 
vnafaaa sana ivi vile ukiweka kwene solar battery vitawaka?

Back
Top Bottom