Kwa wale ambao ada tumezinjwa tujitokeze hapa

Umeandika nini wewe,kibaya zaidi ni expert member
 
Wenzio wanatumia masalia wewe watumia ada!!!!
 
Hivi ni kwamba mkipost kuna mtu anaedit post zenu anawaandikia maroroso au[emoji134][emoji134][emoji134]
Hii post ya tatu nakutana nayo ya hovyo hovyo.
 
Bado una hangover, nadhani ulimaanisha kwamba wale mliokunywa pombe kwa hela ya ada ya watoto, ha ha ha usihofu wanakuja.
 
baba wa mtoa mada akipitia mada h na akakuta aliyeandika ni mwanae, aise mtoa mada lazima aliwe dodo kwa kuchezea pesa ya baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…