Kapyarupyaru
Member
- Nov 4, 2016
- 33
- 43
*Kwa wale ambao hamjaoa muwe makini sasa, unaweza oa mtu anadaiwa na Helsb milion 20 huko, utazilipa mpaka ushike adabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazimaa tufanyeee interview kwanza*Kwa wale ambao hamjaoa muwe makini sasa, unaweza oa mtu anadaiwa na Helsb milion 20 huko, utazilipa mpaka ushike adabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*Kwa wale ambao hamjaoa muwe makini sasa, unaweza oa mtu anadaiwa na Helsb milion 20 huko, utazilipa mpaka ushike adabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewaza mbali sana mkuu[emoji3][emoji3]*Kwa wale ambao hamjaoa muwe makini sasa, unaweza oa mtu anadaiwa na Helsb milion 20 huko, utazilipa mpaka ushike adabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
*Kwa wale ambao hamjaoa muwe makini sasa, unaweza oa mtu anadaiwa na Helsb milion 20 huko, utazilipa mpaka ushike adabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
Nimeipenda sana hiyo! Vp familia ambazo baba, mama na watoto wanadaiwa na HESLB? Kweli huyu HESLB ni tajiri la kipekee...na hafilisiki.*Kwa wale ambao hamjaoa muwe makini sasa, unaweza oa mtu anadaiwa na Helsb milion 20 huko, utazilipa mpaka ushike adabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
Nahisi ambao hawajaolewa wanapashwa kuwa makini zaidi, kwa sababu ukiolewa na mdaiwa sugu, hata ugali mezani itakuwa shida. Utaambiwa mama hivi hujui nadaiwa na bodi??, akichelewa kurudi home usiongee, amekwenda kitafuta hela ya kurejesha mkopo [emoji126] [emoji126] [emoji126]*Kwa wale ambao hamjaoa muwe makini sasa, unaweza oa mtu anadaiwa na Helsb milion 20 huko, utazilipa mpaka ushike adabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*