Hivi utaratibu wa boom kwa mwaka huu inakuwaje wakuu, tunatupiwa kwenye hizo akaunti zetu au ni foleni kama first year? naomba MWONGOZO wale ambao tayari mshafungua vyuo maana naona siku zinakata na salio hakuna
Baadhi ya vyuo kama RUCO wamepanga foleni na kusaini kwa wahasibu.Inawezekana ndio utaratibu mpya kwa continueing students, japokuwa waziri husika alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mapema septemba alisema utaratibu mpya utahusu wanafunzi wapya tu.