bukoba04
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 1,402
- 1,291
Habarini wana Jamvi ...!
Binafsi kwa sasa naishi mkoa wa Morogoro baada ya kuhamishiwa kikazi mkoa huu, nikitokea DSM..
Nimekuwa napata shida na maji ya chunvi ya mkoa huu, kiasi cha kuniondolea utanashati wangu, hata wengine kuniambia ngozi yangu inapauka...
Naomba kujua wanajanvi, katika vitu vifuatavyo, Sabuni ya kuogea, Mafuta ya kujipaka mwilini, na Shampoo ya nywele, vyote kwa pamoja ni aina gani, vitaweza kuendana na Maji na hali ya hewa ya mkoa huu...
Nikiwa Dar, nilikuwa natumia sana Dettol nyeupe, au Sabuni rungu na mafuta ya kupaka nilikuwa natumia Nivea for Men, ile kubwa ya Blue ya elfu10...
Nawasilisha