Usihofu mkuu wataalamu wanakuja
Akijaza huwa unalipia? Pambana na hali yako huwez ukawa José ndio imeshakuwa haijalishi anachosema tayari ndio yeye...unamuonea kwakuwa si mgomvi shenzy...Kuna Uzi Unakupigia Chapuo Kuwa Unajaza Tu Servers Humu Na Michango Yako Haina Mashiko kaka.
Water therapy ni nzuri sana ukiifuata vizuri,bila ya kutokusahau ulaji wa matunda kwa wingi,hutatumia Nivea,wala cream yoyote na ngozi yako itakuwa nzuri sana..habarini wana Jamvi...!
Binafsi kwa sasa naishi mkoa wa Morogoro baada ya kuhamishiwa kikazi mkoa huu, nikitokea DSM..
Nimekuwa napata shida na maji ya chunvi ya mkoa huu, kiasi cha kuniondolea utanashati wangu, hata wengine kuniambia ngozi yangu inapauka...
naomba kujua wanajanvi, katika vitu vifuatavyo, Sabuni ya kuogea, Mafuta ya kujipaka mwilini, na Shampoo ya nywele, vyote kwa pamoja ni aina gani, vitaweza kuendana na Maji na hali ya hewa ya mkoa huu...
Nikiwa Dar, nilikuwa natumia sana Dettol nyeupe, au Sabuni rungu ns msfuts ys kupsks nilikuwa natumia Nivea for zmeni, ile kubwa ya Blue ya elfu10...
Nawasilisha
OkayKuna Uzi Unakupigia Chapuo Kuwa Unajaza Tu Servers Humu Na Michango Yako Haina Mashiko kaka.
Water therapy ni nzuri sana ukiifuata vizuri,bila ya kutokusahau ulaji wa matunda kwa wingi,hutatumia Nivea,wala cream yoyote na ngozi yako itakuwa nzuri sana..
Hiv morogoro na dar wap kuna maji chumvi
Teeena....basi mimi sabuni za magadi ndo kimbilio langu ikitokea ninaoga maji ya chumvi maana ndo ina povu kwa wingi sabuni nyingine nukiogea na maji ya chumvi ule uhaba wa povu huwa nahisi nimetoka bafuni na uchafu wanguNakushauri uepukane na sabuni zenye magadi kwasababu nami pia ni muanga na nimeanza na hilo ila pia jaribu kupaka mafuta yatakayoacha ngozi yako ikiwa nyevu..
Namatumaini kua itakusaidia
Basi ngozi hizi zinahila mie nlitumia sabuni ya magadi nikawa natoka kuoga nimepauka kama nimeparazwa na jua la saharaTeeena....basi mimi sabuni za magadi ndo kimbilio langu ikitokea ninaoga maji ya chumvi maana ndo ina povu kwa wingi sabuni nyingine nukiogea na maji ya chumvi ule uhaba wa povu huwa nahisi nimetoka bafuni na uchafu wangu
mkuu, nipo Ilonga hapa rsearch, maji ni chumvi balaa, ila hayo maeneo uliyoyataja nayafahamu vema
mkuu kuna ukame wa watoto huku, au kuna mechanism gan ya kuwapata, unaonekana mkuu unapafahamu vzr