Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
afadhali umewaambia ukweli
maana hawa watoto waliochukua kozi za kike a.k.a arts huwa wanabonga
sana
Huyo boya anataka ulete mada ya kumuomba ushauri umetembea na mama mkwe ndio atachangia.LAKINI KUWAJULIA HALI WANACHUO WENZAKO YEYE HAONI UMUHI.BASI UMOJA SIO NGUVU KWA POINT ZAKE.
kuku wa maziwa wewe..kati Ya Wana udzm na wewe utakuwemo majemb wa udzm ni wale wanaopiGa enginern nguchiro kama wewe huna tofouti na wale machangu wa sinza
professional course ni 4 yrs minimum..sasa wewe upo 1st yr mbwembwe kibao...engineering vilaza kibao tu hat div 3.14 nk wamo kibao...acha mawazo ya kisua sua huko porini...alaaaah
sibishani na wewe hata UE ,Supp na Carry over hujui...hahahahahahahaha...1st yr banaaaah daaaaah...peleka maharufu yako porini huko....kijana..uko chuo?! Au nursery maana mawazo yako yamekaaakaa kama mtoto anayevalishwa nepi? Embu toa mawazo yako ya kitetea
naona umekurupuka usingizini....ivi unajitambua kweli?? wewe ni wa kiume au wa kike? jibu tuendelee...professional course ni 4 yrs minimum..sasa wewe upo 1st yr mbwembwe kibao...engineering vilaza kibao tu hat div 3.14 nk wamo kibao...acha mawazo ya kisua sua huko porini...alaaaah
this place is for hard talk upuuzi wenu pelekeni facebookacha kukariri vitu??? U facebook umekujaje hapo
sijui nyie 1st yr mnamatatizo gani? ni hivi huyu mtoa mada amejitapa kwamba ana soma professional course..so kama yake inafall under 4yrs program imequalify kama ni less than that sio professional course..refer google ama dictionary for more clarification...kuhusu hao vilaza wa engineering refer to selection ya BSC textile..UDSM 2012\13 mana umeisifia kwamba ndo wako nondo..wanaosoma kozi hizo ujionee walio na cut off points 5, 4 wote wamo humo..baada ya hapo waweza jiuliza..uhusiano kati ya ukike na ukiume..daaaah 1st year bhana...daah sorry ni 4m1 ninyi..mtazoea tu...hahahahasio tena wa kike bali ni jike hahahah !!
guys kwangu mimi niko CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) nasoma logistics and transport management!!
things are not so much tough as long as nasoma kwa bidii sana!