sijakupata, toa mfano.........ningeomba ututafutie na ya wadada......kuna saa zingine namdondokea jamaa....domo linakuwa zege.....naishia kufanya body langueji....jamaa linakuwa halielewi....nadhani site kama hiyo ukinitafutia....itanifaa zaidi........
sijakupata, toa mfano.........
<br /><font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">ningeomba ututafutie na ya wadada......kuna saa zingine namdondokea jamaa....domo linakuwa zege.....naishia kufanya body langueji....jamaa linakuwa halielewi....nadhani site kama hiyo ukinitafutia....itanifaa zaidi........</span></font></font>
<br />Mmmh!<br />
.
Duh! Nilikuwa sijui hili.ningeomba ututafutie na ya wadada......kuna saa zingine namdondokea jamaa....domo linakuwa zege.....naishia kufanya body langueji....jamaa linakuwa halielewi....nadhani site kama hiyo ukinitafutia....itanifaa zaidi........
Duh! Nilikuwa sijui hili.
Body Language sikuhizi ni ngumu kueleweka sababu nyie mna mivuto ya kila aina ni vyema kuongea tu Sema nae Usione Soo
Kwa hiyo mkuu unahimiza watu waitafute hyo muvi waongeze maujuz ya kutongoza halafu so what? Outcome yake ni nini? Kama si kuchochea uzinzi hapa Tz na kuongezeka kwa maambukiz? Da hiki kizazi cha bongofleva kazi ipo kukilea,yaani hadi muv za namna ya kutongoza zipo cku hz ili ku accelerate rate ya utongozaji. Dah kaaaaz kweli kwel.
ningeomba ututafutie na ya wadada......kuna saa zingine namdondokea jamaa....domo linakuwa zege.....naishia kufanya body langueji....jamaa linakuwa halielewi....nadhani site kama hiyo ukinitafutia....itanifaa zaidi........