Kwa wale madomo zege!!!

 
...manake kuna watu wanatumia very old lines,hadi huruma!
Tukiwa club siku moja jamaa kamtamani dada mmoja aliyekaa karibu yangu baada ya muda akaja 'dada kama nakufahamu'
dada 'sidhani'
jamaa 'kama nilikuona Arusha'
dada 'sijawahi kwenda Arusha'
jamaa 'au Tanga ? '
dada 'samahani lakini,unaonaje urudi Arusha nami ninywe wine yangu kwa amani ?'
 

sasa tusemeje....au huwa mnataka tuwaambieje?......hebu nipe maujuzi...kuna jamaa huku JF anazungusha ubongo wangu nataka nimtokee na mistari
 
sasa tusemeje....au huwa mnataka tuwaambieje?......hebu nipe maujuzi...kuna jamaa huku JF anazungusha ubongo wangu nataka nimtokee na mistari
hiyo isikupe shida lil sis ninong'oneza nitamleta home halafu najidai nimesahau kitu.
 
hiyo isikupe shida lil sis ninong'oneza nitamleta home halafu najidai nimesahau kitu.

utakua hujatatua tatizo....sasa ukimuacha mi nitaanza kumwambiaje......?......halafu jamaa mwenyewe ni mtata vibaya mno....
 
utakua hujatatua tatizo....sasa ukimuacha mi nitaanza kumwambiaje......?......halafu jamaa mwenyewe ni mtata vibaya mno....
nakuaminia sis ukimwangalia na macho yako hayo mwenyewe ataanza kubwabwaja maneno,umesema mtata asiwe NN ?
 
Pamoja na michango yote lakini mi bado sijaelewa maana ya domo zege
ina maana domo likuwa kama zege?
 
Pamoja na michango yote lakini mi bado sijaelewa maana ya domo zege
ina maana domo likuwa kama zege?
mdomo mzito,kutokuweza kutongoza,kuwa na aibu ya kupitiliza,kutojiamini, umeelewa sasa ?
 
ushauri tu jamani kwa wale mtakaotumia hizo tips....msiwe mna copy and paste when applying them! maana i remember wakati ule stomp the yard ndo imetoka, kuna jamaa aliwahi nifata i dont know kama ni intentionally o unintentionally but i came to realise he took so many lines from the movie when the guy alipokuwa anamfatilia yule dada mpaka akampata..nilipokuja kuiona nikacheka na kumshusha pia....! ni vizuri kujiamini!!!
 
Ilimtokea mshkaj wangu. Alimtuma sista amtongozee. Sista ake kamleta demu ndan, mshkaj akamuulza demu, sista amekwambia shida yangu! Demu kajibu hapana. Mshkaja akamwambia nenda halafu nitamtuma tena. Mshikaji alifikiri kuwa demu akija atavua tu apige mambo.
 
Kuna movie moja inaitwa "sex zero", pia kuna kitabu kinaitwa "how to become an alpha male"
 
<br />
<br />
Ebu tupatie hizo new lines mzee.
 
haha kipipi.. basi tafuteni body language mja ili ijulikane kuwa umemzimia mwanaume na hiyo body language iwe maarufu so mwanaume awe anashindwa yeye tu ...

Mimi kuna Mdada kanizimia na alishatuma msg kwa rafiki yangu ambae alienda kumtongoza akatolewa baru akaambiwa me ndio nimewekewa nafasi japo sikumjua nikafuatilia hadi nikamuona tatizo lipo kila nikikutana nae huonesha kama mimi ni mpita njia tu hunipita kwa kasi sijawahi weza hata kupata nafasi ya kumpa hi...
 
We tafuta hela halafu uone kama domo zege litakuwepo.hela ndo kila kitu
 
kwenye internet siku izi kuna kitu, ni suala la kujua kusearch tu na kudownload madude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…