kuna jitu lilikuwa lina itwa ibrahim halifa kwa mlio kuwa mnalifaham lili kuwa na itikadi kali ile mbaya,halikuwahi kuja shule,alikuwa ana kuja kunye siku za mitihani tu,bangi,sigara,pombe,ugomvi,vurugu aki kuazima kitabu ndo umempa.
na alikuwa ana soma pcb uta zan ana soma hkl,af et na ambiwa ame faulu, naombeni mnijuze wana meta hivi ni kweli au naota?