Kwa Wale mliochaguliwa UDOM college of Humanities & social science..soma hapa

Mbonica VJ

Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
76
Reaction score
43
:A S new:Kwanza kabisa tunakupongeza kwa kuchaguliwa University of Dodoma :A S new:...Ufikapo dodoma mjini usafiri wa kutoka mjini kuelekea Chuo tar 12 (SHATO)utakuwepo wa bure,Kama unataka Tax pia zipo usidanganyike bei ni shilingi elfu kumi na mbili (12000) -Mpaka elfu kumi (10000)tu epuka matapeli madreva TAX waaminifu wapo . kwa wale mtakao chelelewa kufika au mtakao tangulia siku moja kwanza kama unataka malazi mjini katika lodge ambazo zina hadhi ya kikolege zaidi kwa bei poa sehemu yenye usalama wa uhakika TAFADHALI NI PM Please ntakupatia maelekezo mengine ....

:help:
 
Ahsante ndugu tuna shukuru kwa taarifa na ubarikiwe sana
 
Sasa c ungesema wote waliochaguliwa udom tu mkuu?
 
hamna haja ya kuku pm maana unataka kutoa msaada weka majina ya hizo lodge,mi binafsi kuna mtu alinitumia jina la lodge mwaka2009 wakati natarajia kujiunga udom na mpaka leo lodge hiyo sijawahi kuihama maana ni nzuri,ipo karibu na mjini na inaitwa victoria lodge ipo maeneo ya maua
 
Back
Top Bottom