Mbonica VJ
Member
- Sep 27, 2012
- 76
- 43
:A S new:Kwanza kabisa tunakupongeza kwa kuchaguliwa University of Dodoma :A S new:...Ufikapo dodoma mjini usafiri wa kutoka mjini kuelekea Chuo tar 12 (SHATO)utakuwepo wa bure,Kama unataka Tax pia zipo usidanganyike bei ni shilingi elfu kumi na mbili (12000) -Mpaka elfu kumi (10000)tu epuka matapeli madreva TAX waaminifu wapo . kwa wale mtakao chelelewa kufika au mtakao tangulia siku moja kwanza kama unataka malazi mjini katika lodge ambazo zina hadhi ya kikolege zaidi kwa bei poa sehemu yenye usalama wa uhakika TAFADHALI NI PM Please ntakupatia maelekezo mengine ....
:help:
:help: