Kwa wale mliokua mkisema Messi alikua anazungukwa na wachezaji wazuri Barcelona

Kuna watu huku mlikua mnasema Messi hana kitu ni kwamba yupo tu kwenye timu Bora na anazungukwa na wachezaji wazuri mmeona sasa kuondoka kwake kumeifanya Barca kupoteana hadi kushiriki michuano ya Europa?

Haya Sasa mmeona umuhimu wake?

Hivi ni kweli mlikua hamuuoni mchango wa Messi Barcelona?

Hamkuona kwamba akiwa Barca yeye ndo alikua anaongoza kwa kila kitu msimu ukiisha? Sio magoli,sio assist,sio nafasi za kutengeneza.

Huyu Messi mpeni heshima yake jamaniView attachment 2039146
Siwezi kumpa heshima mchezaji ambaye msimu wite ana kagoli kamoja tu
 
Kuna watu huku mlikua mnasema Messi hana kitu ni kwamba yupo tu kwenye timu Bora na anazungukwa na wachezaji wazuri mmeona sasa kuondoka kwake kumeifanya Barca kupoteana hadi kushiriki michuano ya Europa?

Haya Sasa mmeona umuhimu wake?

Hivi ni kweli mlikua hamuuoni mchango wa Messi Barcelona?

Hamkuona kwamba akiwa Barca yeye ndo alikua anaongoza kwa kila kitu msimu ukiisha? Sio magoli,sio assist,sio nafasi za kutengeneza.

Huyu Messi mpeni heshima yake jamaniView attachment 2039146
Non sense, Messi kaondoka barca, ikiwa tayari inapitia kipindi kigumu, mbona alishindwa kuinusuru na kipigo cha goli 7 nje ndani dhidi ya bayern?
 
Kwahiyo hayo ya kufungwa 7 na 8 dhidi ya hao Bayern ndo kunamfanya awe hakuwa na msaada alipokua Bayern??

Hivi unafuatilia mpira wewe??

Unataka kusema kipindi yupo Barca na Sasa hivi akiwa hayupo ni sawa??

Toka awepo barca,Barca haijawahi kucheza Europa wewe huoni alikua na impct kubwa Sana alipokua Barca??

Sawa Ila time will tell
 
saivi wapo mtaa wa 7 na wasipokaza hata top4 hawataiona hivo wanaweza kosa michuano ya ulaya msimu kesho.
 
Huyo messi mpaka sasa msimu umeshafika nusu ana goli moja huko France
 
Sasa huko alikoenda amefanya nini?
Naona Messi na Barcelona wote walikuwa wanategemeana usiiseme Barcelona peke yake
Kutengana kwao kutadhihirisha udhaifu wa kila mmoja udhaifu wa Messi tutauona ba wa Barcelona pia tutauona it's matter of time tu
 
Andunje anacheza ligi ya wakulima timu nyingi kwenye ligi ni mbovu anawageuza geuza kama chapati.
Umesahau akiwa BARCA alivyokuwa akiwageuza kama chapati team pendwa za huko unapotetea England?

Pale England ligi pendwa karibia wote mlilia na kupewa presha na huyo MESSI? Unamkumbuka yule mzee wa team pendwa alivyokuwa anatetemeka siku ile? Mpk leo yule mzee ni mgonjwa kisa LAPURGA (MESSI)

JITAMBUE KABLA YA KUROPOKA

Sent from my Infinix X559 using JamiiForums mobile app
 
kikubwa ulichosahau ni kuwa msimu uliopita Barca iliaga round of 16 na messi akiwa ndani, Kwa maana msimu huu hata angelikuwemo basi uwezekano wakutoka group stage pia ungelikuwepo. Barca ilishapoteza ubora wake toka Xavi na Iniesta walipokwisha kwnye ubora wao
 
Wasingetolewa kwa sababu mwisho wa siku Messi alikua anaibeba Barca mgongoni mwake
 
Sasa huko alikoenda amefanya nini?
Naona Messi na Barcelona wote walikuwa wanategemeana usiiseme Barcelona peke yake
Kutengana kwao kutadhihirisha udhaifu wa kila mmoja udhaifu wa Messi tutauona ba wa Barcelona pia tutauona it's matter of time tu
Huko alipoenda kunahusu nini ??

Sisi tunaangalia huku alipotoka huko alipoenda timu imetinga 16 Bora na inaongoza ligi ya ufaransa
 
Back
Top Bottom