Kwa wale mliosoma Shule ya Msingi Tandale

Kwa wale mliosoma Shule ya Msingi Tandale

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Huu ni uzi wa watu mbalimbali tuliowahi kusoma shule hii kongwe inayopatikana katika kata ya TANDALE, wilaya ya KINONDONI, mkoa wa DAR ES SALAAM katika miaka tofauti tofauti ili tuweze kujuana na ikibidi tukumbukane pia.
 
heri yenu nyie mlizaliwa mjini mkaenda shule
sisi tulikua vijijini tunacheza na qouma za Ng'ombe
 
Huu ni uzi wa watu mbalimbali tuliowahi kusoma shule hii kongwe inayopatikana katika kata ya TANDALE, wilaya ya KINONDONI, mkoa wa DAR ES SALAAM katika miaka tofauti tofauti ili tuweze kujuana na ikibidi tukumbukane pia.
HIi ni hatari sana yaani panyaroad wa tandale mnataka kukutana.....serikali iwe makini sana tandale wezi wengi sana......sasa naona panya road wana kikao hapa .....jamaani hii hatari
 
Back
Top Bottom