Kwa wale mnao-apply kwa equivalent qualification

Kwa wale mnao-apply kwa equivalent qualification

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
321
aman kwenu wadau,wakati napitipitia tcu guide book 2014/15 nikakutana na hii kitu 'enter the name of your final sitting primary school' halafu na hii 'enter the name of your fina sitting secondary school,sasa kwa sisi tuliotumia majina tofauti primary na secondary inakuwaje?,halaf wanataka hadi na mrithi wako au mim sijayaelewa hayo maelezo?.msaada plz
 
Uko sahihi Mkuu, ndivyo wanavyotaka! Sasa ilikuwaje ukawa na majina tofauti kwa shule ya Msingi na sekondari? Au ndo mambo ya Mwigulu Nchemba? Kwani kwenda sec ulitumia cheti gani? Maana ninavyojua miaka ile tulikuwa tunapewa nafasi ya kubadili majina tunapoingia form II, sijui kwa sasa hivi mnabadilishaje majina? Kama hivyo ndivyo, basi itakubidi ujaze shule ya Msingi kabla hujabadilisha jina, yaani shule uliyotoka kwenda sekondari. Lakini ngoja tupate na mawazo ya wengine!
 
Ndugu job k kuna sababu nyingi zinazofanya mtu awe na majina tofaut mfano mtu kamaliza darasa la saba anaitwa john assume kafeli halafu kaamua kwenda form one private school lakin kabla ya kujiunga akafanyiwa ubatizo au akabadili dini au akaamua tu kubadili jina na akachukua cheti cha kuzaliwa kwa kutumia jina jipya la juma ,ikumbukwe private wanangalia ufaulu wako,hatimae akasoma o-level,A-level na chuo kwa kutumia jina jipya je kuna ubaya?,kumbuka kuwa hakuna sehemu inayoruhu watu waambatanishe vyeti vya kubadili jina.si kila anayetumia majina tofaut basi alichakachua,msaada wenu plz
 
wadu mbona kimya?,kuna haja ya kuwasiliana na nacte
 
Back
Top Bottom