Ndugu job k kuna sababu nyingi zinazofanya mtu awe na majina tofaut mfano mtu kamaliza darasa la saba anaitwa john assume kafeli halafu kaamua kwenda form one private school lakin kabla ya kujiunga akafanyiwa ubatizo au akabadili dini au akaamua tu kubadili jina na akachukua cheti cha kuzaliwa kwa kutumia jina jipya la juma ,ikumbukwe private wanangalia ufaulu wako,hatimae akasoma o-level,A-level na chuo kwa kutumia jina jipya je kuna ubaya?,kumbuka kuwa hakuna sehemu inayoruhu watu waambatanishe vyeti vya kubadili jina.si kila anayetumia majina tofaut basi alichakachua,msaada wenu plz