Habari,
Naam,ndugu zangu mnaoenda kusomea ualimu jueni ya kua nyie ni watu muhimu kwa taifa hili kwa kua in the near future ndio mtakao kuja ku impart knowledge and skills kwa watoto wa kitanzania kama tunavyo fanya sisi walimu tulio watangulia.
Usifurahie tu kwa sasa kupata post ya chuo yakupasa utambue ukisha maliza masomo utapata ajira kwa urahisi sana ya ualimu,kila kazi ina changamoto zake,lakini changamoto za ualimu ni nyingi na zinakatisha tamaa kama hauna uvumilivu waweza ishia njiani,mishahara midogo sana,mazingira magumu ya kufanyia kazi,umbali wa makazi ya walimu na shule,uhaba wa huduma za kijamii huku vijijini mfn umeme,maji,afya,networks,banks n.k, kama una ndoto za kuishi maisha ya kifahari futa kabisa hiyo mentality, ualimu ni full of stress and frustrations kwa wote wa mjini na vijijini.serikali haijari kabisa na haina mpango wa kuboresha maisha ya mwalimu.
Ni bora ukatafakari mara mbili mbili kabla ya kwenda kuanza masomo.sisi kaka/dada zenu tunahisi kama tulipotea njia.
Chinga 1.
mkuu Chinga One ni kweli wewe ni mwl? Basi hapo kwenye red unakosea na unapotosha. Kazi yako inatakiwa u-facilitate learning kwasababu wale unao wafundsha sio makopo kwamba uwajaze kila kitu. Naomba ubadilishe hyo njia unayotumia kufundshia.
Habari,
Naam,ndugu zangu mnaoenda kusomea ualimu jueni ya kua nyie ni watu muhimu kwa taifa hili kwa kua in the near future ndio mtakao kuja ku impart knowledge and skills kwa watoto wa kitanzania kama tunavyo fanya sisi walimu tulio watangulia.
Usifurahie tu kwa sasa kupata post ya chuo yakupasa utambue ukisha maliza masomo utapata ajira kwa urahisi sana ya ualimu,kila kazi ina changamoto zake,lakini changamoto za ualimu ni nyingi na zinakatisha tamaa kama hauna uvumilivu waweza ishia njiani,mishahara midogo sana,mazingira magumu ya kufanyia kazi,umbali wa makazi ya walimu na shule,uhaba wa huduma za kijamii huku vijijini mfn umeme,maji,afya,networks,banks n.k, kama una ndoto za kuishi maisha ya kifahari futa kabisa hiyo mentality, ualimu ni full of stress and frustrations kwa wote wa mjini na vijijini.serikali haijari kabisa na haina mpango wa kuboresha maisha ya mwalimu.
Ni bora ukatafakari mara mbili mbili kabla ya kwenda kuanza masomo.sisi kaka/dada zenu tunahisi kama tulipotea njia.
Chinga 1.
Hayo ni mawazo mgando,kama msomi huwezi kwepa changamoto,tumia elimu ulonayo kuzishinda.Nyie ndo walimu fake mnaotegemea mwisho wa mwezi
Kaka,inavyoonesha huyu Chinga one ni mmoja kati ya walimu wenye uwezo mdogo sana kifikra,namashaka na uwezo wake katika kuchanganua mada darasani.
Kaka,inavyoonesha huyu Chinga one ni mmoja kati ya walimu wenye uwezo mdogo sana kifikra,namashaka na uwezo wake katika kuchanganua mada darasani.
Mkuu nakuheshimu sana lakini hapa umeonyesha ujinga ulio tukuka,tatizo lako umefocus kwenye point moja ya maslah tu wakati nimegusia changamoto kibao kutokana na experience ya mazingira halisi haya hebu niambie nitatatua vp tatizo la network? nijenge mnara wa simu? nitatua vp distance ya makazi ya walimu na shule? natembea km 70 kwenda na kurudi 70 kwenda mjini kufatilia madai yangu halmashauri,na kwenda bank kupata huduma hebu niambie hapo ntatua usomi wangu vp kusolve hzo problems? acha upuuzi km hujui hali halisi kaa kimya sio unaongea kama shog.a.
sasa watu wanavoogopa hesabu wanakaa wapi hapo....?Kozi za ukweli ,zenye heshima ni 5 tu ambazo ni 1.engineering 2.medicine 3.law 4.architecture 5.accounting&finance
Unaongea mambo ambayo huyajui na huna experience nayo istoshe mimi sio wa kwanza kulalamikia changamoto sugu za ualimu ambazo nyingine zipo ndani ya uwezo wa serikali ila kwa makusudi hawataki kuzitatua,haya hebu onyesha wapi nina uwezo mdogo wa kuchanganua mambo?
1.Mambo ya mawasiliano na minara ya simu,hivi vitu vimeanza juzijuzi tu,kwa walimu wa zamani havikuwepo na sijui kama hiyo simu inakusaidia kuingiza kipato!
2.Kuna nyumba nyingi tu karibu na mazingira ya shule,tatizo mnataka nyumba high classic ndo maana hamtaki kukaa vijijini mnakimbilia kukaa mijini na kulalamika vituo vyenu vya kazi vipo mbali!
3.Sidhani kama madai unafatilia kila siku,isitoshe we ni mwl.uliyeajiriwa juzi juzi tu hapa na huna hela mwl.za kukufanya utafute huduma bank mara kwa mara.
4.Unaponitusi (shoga)hadharani inaonesha ni kiasi gani usivyokuwa na Ethics za Ualimu ,nakushukuru kwa sababu hiyo hainipunguzii hadhi yangu ya kike!
jipange mwalimu!!
inatosha mama, embu punguza hasira kidogo. Mwl atakuchapa...
Kijana sina nia ya kuwakatisha tamaa au kuwatishia but nawapa fact ya mambo jinsi yalivyo ili kama kufanya uamuzi wafanye mapema kabisa isije baadae wakaanza kuleta thread za kuomba ushauri kutaka kuachana na ualimu wakati they have chances to decide now.
Ualimu fani nuksi sana hii