pemgtoonet.com
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 879
- 618
Walimu,..walimu tunaumuhimu. Msihofu 2015 mkombozi wenu anakuja. Fanyeni chaguo sahihi.
ndugu zanguni watanzania tunasoma ili kupata maisha mazuri,kupata hayo maisha yanastahili mipango mizuri na kipato pia,kwakua watz wengi ni watoto wa mackini basi kipato huwa tunakipata baada ya kuwa employed na government kwani wengi wetu huchukua loan,my advice kazi yoyote ni akili na utashi wako utakufanya uendelee kimaisha,wako walimu wanaoish maisha mazuri kuliko hata baadhi ya wafanyakazi wa TRA!What matter ni jinsi gani unayaendesha maisha yako,mbona wengi wazazi wao walimu na wao leo wanakazi za maana wanasaidia wazazi wao je bila ualimu wa mzazi wao wangefika walipo leo?.Tambua kuna watu mtaani wanautamani mpaka huo ualimu mleta hoja anaousema hauna maana,naamin unamaana hata kwake ndio maana mpaka leo hii hajaacha kazi maana ungekua haumsaidii angeacha kazi hiyo,unasema kaz4 ngumu kuna watu wako private wanalipwa vizur ila mazingira ya kazi ni from Monday to Sunday na ruhusa ni likizo au ufiwe na baba au mama kwa ujumla inakutenganisha na famili yako,msikatae ndiko nilikotoka mimi na sasa naitafuta nafasi ya kua employed na serikali and this year na mimi naenda chuo,kama umepangiwa ualimu shukuru nenda kuna watu wana BBA na wengine wana degree ya procurement and supply mwaka wa 2 huu wanasaka ajira,wanafundisha temporary huku wakiendelea kuhangaika halafu unasema ualimu mbaya.Ingia kwenye system mengine baadae,si kila ushauri humu jf unafaa maana tunatoka kwenye family tofauti,jiangalie wewe na maisha yako na ur family too
Hapo,asiyekuelewa atakuwa ni kilaza.
Habari,
Naam,ndugu zangu mnaoenda kusomea ualimu jueni ya kua nyie ni watu muhimu kwa taifa hili kwa kua in the near future ndio mtakao kuja ku impart knowledge and skills kwa watoto wa kitanzania kama tunavyo fanya sisi walimu tulio watangulia.
Usifurahie tu kwa sasa kupata post ya chuo yakupasa utambue ukisha maliza masomo utapata ajira kwa urahisi sana ya ualimu,kila kazi ina changamoto zake,lakini changamoto za ualimu ni nyingi na zinakatisha tamaa kama hauna uvumilivu waweza ishia njiani,mishahara midogo sana,mazingira magumu ya kufanyia kazi,umbali wa makazi ya walimu na shule,uhaba wa huduma za kijamii huku vijijini mfn umeme,maji,afya,networks,banks n.k, kama una ndoto za kuishi maisha ya kifahari futa kabisa hiyo mentality, ualimu ni full of stress and frustrations kwa wote wa mjini na vijijini.serikali haijari kabisa na haina mpango wa kuboresha maisha ya mwalimu.
Ni bora ukatafakari mara mbili mbili kabla ya kwenda kuanza masomo.sisi kaka/dada zenu tunahisi kama tulipotea njia.
Chinga 1.
ndugu zanguni watanzania tunasoma ili kupata maisha mazuri,kupata hayo maisha yanastahili mipango mizuri na kipato pia,kwakua watz wengi ni watoto wa mackini basi kipato huwa tunakipata baada ya kuwa employed na government kwani wengi wetu huchukua loan,my advice kazi yoyote ni akili na utashi wako utakufanya uendelee kimaisha,wako walimu wanaoish maisha mazuri kuliko hata baadhi ya wafanyakazi wa TRA!What matter ni jinsi gani unayaendesha maisha yako,mbona wengi wazazi wao walimu na wao leo wanakazi za maana wanasaidia wazazi wao je bila ualimu wa mzazi wao wangefika walipo leo?.Tambua kuna watu mtaani wanautamani mpaka huo ualimu mleta hoja anaousema hauna maana,naamin unamaana hata kwake ndio maana mpaka leo hii hajaacha kazi maana ungekua haumsaidii angeacha kazi hiyo,unasema kaz4 ngumu kuna watu wako private wanalipwa vizur ila mazingira ya kazi ni from Monday to Sunday na ruhusa ni likizo au ufiwe na baba au mama kwa ujumla inakutenganisha na famili yako,msikatae ndiko nilikotoka mimi na sasa naitafuta nafasi ya kua employed na serikali and this year na mimi naenda chuo,kama umepangiwa ualimu shukuru nenda kuna watu wana BBA na wengine wana degree ya procurement and supply mwaka wa 2 huu wanasaka ajira,wanafundisha temporary huku wakiendelea kuhangaika halafu unasema ualimu mbaya.Ingia kwenye system mengine baadae,si kila ushauri humu jf unafaa maana tunatoka kwenye family tofauti,jiangalie wewe na maisha yako na ur family too
thanks kwa kunielewa ndugu!serikalini raha hata ukiumwa miaka mitano salary inaingia private ukiumwa unaambia uache kazi urudi ukipona wao wanakupa mafao yako,that happen to my father alikua akifanya kazi ZAT ya zanzibar airport alipoumwa akatakiwa aache kazi,fikiri sasa unafamily ndani na wewe mgonjwa halafu kazi huna!!?serikalini kuzuri ndugu ukishaweka miradi ruksa acha serikalini.
Hayo ni mawazo mgando,kama msomi huwezi kwepa changamoto,tumia elimu ulonayo kuzishinda.Nyie ndo walimu fake mnaotegemea mwisho wa mwezi
ndugu zanguni watanzania tunasoma ili kupata maisha mazuri,kupata hayo maisha yanastahili mipango mizuri na kipato pia,kwakua watz wengi ni watoto wa mackini basi kipato huwa tunakipata baada ya kuwa employed na government kwani wengi wetu huchukua loan,my advice kazi yoyote ni akili na utashi wako utakufanya uendelee kimaisha,wako walimu wanaoish maisha mazuri kuliko hata baadhi ya wafanyakazi wa TRA!What matter ni jinsi gani unayaendesha maisha yako,mbona wengi wazazi wao walimu na wao leo wanakazi za maana wanasaidia wazazi wao je bila ualimu wa mzazi wao wangefika walipo leo?.Tambua kuna watu mtaani wanautamani mpaka huo ualimu mleta hoja anaousema hauna maana,naamin unamaana hata kwake ndio maana mpaka leo hii hajaacha kazi maana ungekua haumsaidii angeacha kazi hiyo,unasema kaz4 ngumu kuna watu wako private wanalipwa vizur ila mazingira ya kazi ni from Monday to Sunday na ruhusa ni likizo au ufiwe na baba au mama kwa ujumla inakutenganisha na famili yako,msikatae ndiko nilikotoka mimi na sasa naitafuta nafasi ya kua employed na serikali and this year na mimi naenda chuo,kama umepangiwa ualimu shukuru nenda kuna watu wana BBA na wengine wana degree ya procurement and supply mwaka wa 2 huu wanasaka ajira,wanafundisha temporary huku wakiendelea kuhangaika halafu unasema ualimu mbaya.Ingia kwenye system mengine baadae,si kila ushauri humu jf unafaa maana tunatoka kwenye family tofauti,jiangalie wewe na maisha yako na ur family too
mimi ni mwalimu,na huwa najipambanua hivyo,usiwatishe vijana,suala la stress unalitaka ww mwenyewe,nadhan ni kazi ambayo naifanya bila stress zozote zile,hakuna mahali ambapo serikali itamjali mtumishi,ila muhim ni kwwako wewe mwenyewe kujiletea mabadiliko,na isitoshe kama unahis fani hiyo si nzuri u can shift mdau,yaani ni ajabu mtu ana BACHELOR halafu analalamika,tena bachelor ya ualim,hivi vyuoni watu walisoma ualim tu???si kweli bhana Chinga One badili mtazamo mdau,ukiamini stress basi zitakufika,
hayo masuala ya vijijin na hakuna netweks au umeme,si kwa walim tu hata hao wanaoishi huko ulikowakuta,ualim wa sasa hauna stress labda upende,naongea as mwalim wa serikalini kama wewe nadhan
nakwambia mdau kuna wadau wangu wana mwaka wa 3 huu bado wanasaka ajira,,,,,,,
kabisa mdau,na kazini hata ukae wiki hujaenda,hakuna tatizo litakalokukuta,jaribu kwenye sekta binafsi,,,,
ukitaka kuish kwa stress utaish,kuna maprofesa leo hii wanaish kwa stress,kuna mainjinia na madaktari wanaish kwa stress,,,,,,ni kujipanga tu na kucheza karata zako
i2thedi umeweka wazi kabisa mdau,
Kozi za ukweli ,zenye heshima ni 5 tu ambazo ni 1.engineering 2.medicine 3.law 4.architecture 5.accounting&finance
ndugu zanguni watanzania tunasoma ili kupata maisha mazuri,kupata hayo maisha yanastahili mipango mizuri na kipato pia,kwakua watz wengi ni watoto wa mackini basi kipato huwa tunakipata baada ya kuwa employed na government kwani wengi wetu huchukua loan,my advice kazi yoyote ni akili na utashi wako utakufanya uendelee kimaisha,wako walimu wanaoish maisha mazuri kuliko hata baadhi ya wafanyakazi wa TRA!What matter ni jinsi gani unayaendesha maisha yako,mbona wengi wazazi wao walimu na wao leo wanakazi za maana wanasaidia wazazi wao je bila ualimu wa mzazi wao wangefika walipo leo?.Tambua kuna watu mtaani wanautamani mpaka huo ualimu mleta hoja anaousema hauna maana,naamin unamaana hata kwake ndio maana mpaka leo hii hajaacha kazi maana ungekua haumsaidii angeacha kazi hiyo,unasema kaz4 ngumu kuna watu wako private wanalipwa vizur ila mazingira ya kazi ni from Monday to Sunday na ruhusa ni likizo au ufiwe na baba au mama kwa ujumla inakutenganisha na famili yako,msikatae ndiko nilikotoka mimi na sasa naitafuta nafasi ya kua employed na serikali and this year na mimi naenda chuo,kama umepangiwa ualimu shukuru nenda kuna watu wana BBA na wengine wana degree ya procurement and supply mwaka wa 2 huu wanasaka ajira,wanafundisha temporary huku wakiendelea kuhangaika halafu unasema ualimu mbaya.Ingia kwenye system mengine baadae,si kila ushauri humu jf unafaa maana tunatoka kwenye family tofauti,jiangalie wewe na maisha yako na ur family too
Haya wewe mwalimu original ambaye hutegemei mwisho wa mwezi