Kwa wale mnao enda kusomea UALIMU,someni hapa.


hata sisi ndugu tuwashaur wadogo zetu waangalie fursa zilizopo ndugu,thanks kwa kunielewa
 

ndugu hatukatai hayo usemayo ila tambua kila kazi inastress zake siku zote kazi ya mwenzio ndio nzuri sababu hujui siri ya mtungi ila yeye kata anayajua kama wewe unavyoyajua ya ualimu,heri wewe mwenye mshahara mdogo na uhuru wa kazi pamoja na uhakika wa kazi pia,mara ngapi watumishi wanafukuzwa kazi kwa uzembe wa wengne eg police wa airport juzi.?kuna mwalimu ushasikia akifukuzwa kazi kizembe?hiyo ndiyo tunaita job security ndugu,shukuru hapo ulipo badili maisha unayoishi utafanikiwa
 
Mbona huku kuna mwalimu tena wa shule ya msingi na hana kazi nyingine lakini amejipanga vizuri kimaisha yeye na mke wake wote ni walimu tena wa shule ya msingi..unatakiwa ujue namna gan utafanikiwa kimaisha sio kuanza kuponda kazi ya ualimu
 

Wow! I like you Babaa,I think I'm gonna be a good teacher then.
 
Kozi za ukweli ,zenye heshima ni 5 tu ambazo ni 1.engineering 2.medicine 3.law 4.architecture 5.accounting&finance



Hebu toa ujinga wako wewe. Sometimes kama huna cha kuchangia ni bora tu ukapita kama nlivyokua nataka kufanya ila kwa upuuz wako imenibd tu kuchangia kwenye ujinga uliocomment.
Na naomba utambue kua hili ni Jf "home of great thinkers" na sio fesibuku wanakoshindana kwa kupost na kucomment...
Humu watu wanaleta nyuzi kuleta&kufuata ushaur juu ya mambo ya msingi na sio ujinga,upuuz na kejeli kama hizi za kwako.
JITATHMINI NA TAMBUA UWEPO WAKO KATIKA JAMII YAKO NA TAMBUA SIKU ZOTE DEGREE YENYE HESHIMA NI ILE UTAKAYOAPPLY KTK JAMII YAKO NA JAMII IKATAMBUA UMUHIMU WA UWEPO WAKO NA MWISHOWE IKAKUHESHIMU.
*****OVER****
 
sina nia ya kupingana na mtu lakini tatizo la wengi tunaongea kwa kuhisi( na sio uhalisia wa mambo yalivyo

Sijahis bali nimeongea hali halis, hiv kati ya dactari na injinia ni nan anahitajika zaid? Ndo mana nkasema medicine iko na deal zaid kuliko engineering.
 

Hayo matusi mkuu, walimu wako mstari wa mbele kupigania hak zao kila kukicha, tatizo ni hii serikan inayo muunderestimate mwalimu, as a result watoto wanafel halafu wanasema mitihan isahihishwe upya.
 

Mkuu naweza nisikubaliane nawe kwa hoja nyinginezo ulizoziainisha katika bandiko lako ila kwenye uhuru wa kazi nakubaliana na wewe kwa asilimia zipatazo mia. Mwalimu akiutumia vizuri uhuru wake, anatoka. Tatizo kubwa walimu wanajikuta wakitumia muda mwingi kuilalamikia serikali wasijue hiyo haibadilishi hata nukta ya kero zinazowakabili.

Kuhusu security tunaweza kutofautiana. I would rather go for calculated risks badala ya security inayolemaza.

Mie ningewashauri walimu wasiridhike na chaki. Piga chaki for some years hali ukiangaza macho unless umeamua kuyatoa maisha yako kulitumikia taifa linalotafunwa na wajanja.
 
Mkuu level ya digrii hakuna anaesomea ualimu,wanaosomea ualimu ni certificate na diploma! Its not necessary kuwa mwalimu eti kwa sababu ulisoma Ba.Ed au Bed...kua hapo wewe ultaka mwenyewe!But nevertheless USHAURI MZURI

Kwa nin unasema level ya degree si mwalimu?

Na kama si mwalimu je ni nani?
 
Mkuu Dreadnought,

Ni kweli shahada ya Elimu haimfanyi mlengwa kuwa mwalimu zaidi kuliko kumtengeneza kuwa mtaalam katika eneo fulani.

Anayesoma BSc.Ed kwa mfano, anatumia muda mwingi kuwa scientist kuliko kuwa mwalimu. Kwa hiyo anaweza kuwa mtafiti na akafanya kazi nyingine kabisa.

Hali kadhalika wa BA.Ed ambaye hujikita katika sayansi ya jamii.

Yule wa B.Ed naye huandaliwa kuwa Educationist/mtaalam wa Elimu. Wengi wao huenda kufundisha vyuo vya ualimu lakini kimsingi hawa ni waelewa wa fani ya Ualimu kuliko walivyo walimu.

Kwa hiyo utaona mwalimu wa shahada si mwalimu. Kimsingi ni mtu mwingine anayeweza kufundisha pia.
 
Last edited by a moderator:
muangalie alivyo mjinga kubali kabisa degree ya education ni dhaifu huwezi kufananisha na law,engineering,medicine, , wakili v/s mwalimu, engineer v/s mwalimu,doctor v/s mwalimu ,, mwalimu wa degree 589,000/ , doctor wa degree 1,200,000/, engineer mwenye degree 1,100,000,
fani ni dhaifu kwa kila kitu mpaka maslahi
 
nilikua ipp upande wa coca cola ndugu,ni miongoni mwa kampuni kubwa na zinazolipa vizuri hapa tanzania ila mwenyewe nimetundika daluga!si mchezo private mshahara wako na faida ya bosi yote inapatikana juu ya mgongo wako ndugu!

ndo tabia ya mabepari bhana,,,,,,,
 


The one who says it CAN'T BE DONE should not interrupt the one who is doing it!
 

that what i mean too,ukiwa mwalimu wa serikalin unaweza fanya kazi uliyoajiliwa nayo n pia ukafanya zako private kama miradi n.k ila kwa private n ngumu labda uweke mtu akusaidie kuendesha miradi na ndipo hapo unapofilisika,umepata ualimu soma ingia kwenye system tafuta capital toka kafanye mambo yako au pia unaweza ukabak kwenye system huku unafanya mambo yako,kikubwa saka kazi serikalini ndg
 
ualimu ni kazi ya watu wasiojitambua,mtu anaejitambua hawezi kuwa mwalimu...kuliko kuwa ticha bora uuze chipsi.
 
Ts okey! Tiching ni undermined sector but study whatever, no goodlyf comez with single hand pulling!!!
 
ni mwalimu mtarajiwa, ila kwayaliyo nenwa humu jamvn napita!
 
samaki ni samaki tu dagaa,wenye magamba,wenye mapezi,wenye mkia mrefu,mfupi......kama si mwalimu mbona anafundisha kwani kila mtu hapendi kufanya research?
........scientist bongo?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…