Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Hahaa acha usistaduu wakoMimi huyoo najiona apa sahv moshi..mama ananiambia nkamenye ndizi nmemjibu vidole vinauma namsubiri atoke huko ndani .
Mie nko zangu busy na simu
Na mie mgeni etii sikuwepo mwaka mzimaHahaa acha usistaduu wako
Kamenye tena za wageni wote
Home sweet home...tukienda kule haturembi..tunakatia ng'ombe majani ya migomba piaMkifika huko wekeni usistaduu wenu pembeni..
Ukifika we sio careen tena..ni atupakisye au atupele
Ni manka au Haika[emoji23][emoji23]
Ni maoni tu
Bufa
View attachment 975455
Home sweet home...tukienda kule haturembi..tunakatia ng'ombe majani ya migomba pia
Hahahahahahahahahah eti eeLabda wewe peke ako