Kwa wale mnaohitaji huduma ya kutengenezewa mabango pita hapa

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
603
Reaction score
512
Ni kikundi cha vijana tunashughulika na utengenezaji wa mabango ya 2d, 3d, banner, write box tunapatikana sinza mori jirani na Duka la NATTY

Au waweza kutembelea ukurusa wetu wa Instagram Hd_signage_mabango

Mfano wa mabango hapo chini ni ya 3d yanaukubwa tofauti na bei inatofautiana pia kulingana na ukubwa wa bango unalohitaji.

Pia tuna huduma ya kufunga Alcobond popote pale ulipo tunakufikia kwa maelezo zaidi Nipigie

0759117175

Hd_signage_mabango kwa picha zaidi tembelea humo

Karibuni Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…