Kweli wanaume tumebakia wachache, Mungu alimuumba Adam na akaona yu mpweke akamtafutia msaidizi ambaye ni Hawa. Wanawake ni sehemu ndani ya mwili wetu ni wasaidizi na sisi wanaume ni kichwa cha familia. Mwanaume simama katika nafasi yako. Ni aibu mwanaume kuongea maneno ya kudhalilisha wanawake.