Kwa wale mnaokuja IFM

Kwa wale mnaokuja IFM

LWENYI

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
1,798
Reaction score
2,107
Hbari zenu wana jamvi wenzangu kwanza naomba nianze kwa kuwapongeza kuchaguliwa kufika elimu ya juu hakika huu ndio mlango unaotazamwa na kila mtu kama mlango wa neema hongereni kwenu

Sasa kwa wewe uliyechaguliwa kuja IFM kwanza jipongeze kupata chuo bora kabisa kwenye masuala ya biashara na fedha,
MAZINGIRA. Chuo kipo katikati kabisa ya jiji la dar-es-salaam yaani City Centre campus yake siyo kubwa sana kwahiyo hakiana uwezo wa kumudu kuwapa hostel wanafunzi wote hivyo hostel za nje na nyumba za kawaida za kupanga zinahusika sana.

UPATIKANAJI: Hostel zinapatikana katika mazingira yafuatayo,

POSTA. hapa ni kwa wale watoto wa Mh.....fulani Kwa maana kwamba ni lazima uwe vizuri kiuchuma kuna Apartment kibao ambazo unaweza kupata ukaishi jirani kabisa na chuo bila usumbufu NOTE: kwa wale wenzangu na mimi usithubutu kabisa kujaribu kuingia kwenye hostel hizi maana Gharama ni kubwa mno

KARIAKOO.Hii ni sehemu nyingine ambayo unaweza ukapata hostel ingawa hazina Quality Nzuri saana Lakini Gharama zake ni kubwa pia

KGAMBONI: huku ndiko mkombozi wa walowengi kuna vyumba vya kutosha kwa bei ya 40000 na 50000 mpaka 70000 kwa wale wanaotaka Self Contained Kwa mwezi USAFIRI: Ukiwa kigamboni utatumia 400 tu kwenda chuo na kurudi Gheto kwa kutumia pantoni yaani 200 wakati wa kwenda na 200 wakati wa kurudi CHAKULA: Kwa wale watakao panga hii ni sehemu pekee ambayo unaweza ukapunguza matumizi kwa kuwa utapika mwenyewe na hata kama utakula mataani hutatumia zaidi ya 2000 labda utake mwenyewe

MSOSI CHUONI: Kantini ya chuo inauza msosi kwa bei affordable kbs 1000 wali nyama 1200 wali utumbo 800 wali mbogamboga kwahiyo kwako wewe amtoto wa mkulima tukutane hapa Au kabla Ya ocean road Hospital kuna migahawa inayouza chakula kizuri tu kwa 1500

TAHADHARI: Kwako wewe mkulima mwenzangu usithubutu kwenda kula STEARS, Na migahawa mingine maarufu hapa mjini maana utajuta

MAADILI: Hapa kuna madada/makaka wa kila aina kazi ni kwako kufuata kilichokuleta kuna mapedezhee kibao wanapaki magari yao baada ya kutoka makazini kuwategea watoto wa kike kazi ni kwako kujirahisisha au kuchomoa

MASOMO: HAPA HAKUNA MCHEZO NA ASIKUDANGANYE MTU YEYOTE UKALEGEZA KUSOMA KOZI YOYOTE ULIYOCHAGULIWA JIANDAE KUKUTANA NA MATH'S, ECONOMICS, LAW, ACCOUNTS, na pigana kufa usije ukapata sup ya acc na eco kwani hizi ni core na kama utashindwa kusapua utarudia mwaka wakati huo huo usije ukapata sup 4 kati ya module 6 unazosoma kwani uta disco semista ay kwanza tu

NOTE:MA BRAZA MEN WAPO MASISTA DUU WAPO LAKNI USALAMA WAO NO KITABU HAKUNA MBULULA HAPA

KWA YEYOTE ANAYE HITAJI MSAADA ZAIDI USISITE KUNISTUA KARIBUNI SANA
 
HII NI TAASISI SIO CHUO KIKUU SHULE NI RAHISI SANA AVERAGE40% HAPO NI kula bata tu
 
MKUU SIWADISS BALI NAWAAMBIA KWAMBA IFM SIO CHUO KIKUU NI TAASISI, NA SIO IFm , kuwa ndio taasisi!hapana kuna taasisi nyingine kama ISW,IMTU

Me nimechaguliwa IFM na pia nina furaha sana kwa sababu napapenda xana.... Wenzangu wa IFM HALLAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Shukrani sana mkuu kwa kujitolea kutufahamisha wadogo zako...utaratibu wa kupata hostel ukoje??
 
Kozi ya kiume ni hipi? Soma kozi ambayo itakuwezesha kujiajiri au kuajiliwa kirahisi.
 
Back
Top Bottom