From my experience wanaume wakizungu wagumu kuwaelewa na wako very insecure,obsessed na wanaogopa wanaume wa kiafrika wazungu wanaamini mwafrika wana Dudu kubwa basi inakuwa wivu kilio.anakupenda atakupa kila kitu ila ukisema nyoo unaondoka ujue drama la apo.kuolewa na mzungu ni too much obsession and mapenzi ya kutojimini.muwe waangalifu kutoka kazi
Makaratasi.
Hivi kuna mtu anatumia ID yako? kuna siku ulikuja na swali humu ukapozi kama wewe ni mdhungu
Really aliandika kizungu mume wangu labda anawivu kutwa Nima kunistalk .atajibeba
Anakaribia kuachwa
Anakaribia kuachwa
Shughuli! Kwa hiyo unatushauri tusiolewe na wadhungu? Afu una experience? Ina maana ulishawahi kuolewa na wadhungu wangapi?
Wote, watish, wasudi, watailiano, spaniads, americans, canadians, mexicans, belgians, wafaransa you name them!
to be honest siwapendi wazungu na uwa nawashangaa wadada wanaokuwa na relationship na wazunguFrom my experience wanaume wakizungu wagumu kuwaelewa na wako very insecure,obsessed na wanaogopa wanaume wa kiafrika wazungu wanaamini mwafrika wana Dudu kubwa basi inakuwa wivu kilio.anakupenda atakupa kila kitu ila ukisema nyoo unaondoka ujue drama la apo.kuolewa na mzungu ni too much obsession and mapenzi ya kutojimini.muwe waangalifu kutoka kazi
Wote, watish, wasudi, watailiano, spaniads, americans, canadians, mexicans, belgians, wafaransa you name them!
to be honest siwapendi wazungu na uwa nawashangaa wadada wanaokuwa na relationship na wazungu
from my research ndogo kuhusu wanaume wa kizungu, wadada wengi huniambia uwa hawapelekwi mpera mpera kama tunavyowafanyaga, pia wadada huniambia wana tumashine tudogo na sio imara mishedede yetu kifupi pumzi hawana..
cha ajabu wadada kibao wanashobokea wazungu, sasa sijui uwa wanataka experience au njaa zinawasumbua?
Anakaribia kuachwa