Hii haina tofauti na mabinti wanaotamani kuolewa.... huwaambii kitu kuhusu changamoto za ndoa. Watakwambia kila mtu na nyota yake wacha namimi niolewe ikinishinda naachika ila ndoa naitaka eehehehehe.
It's an endless cycle, kuna wanaoingia kila leo na kuna wanaotoka kila leo na kuna wanaofia humohumo na wachache kati yao wanaoiishi hiyo cycle kama paradiso. Nikimaanisha NDOA na Kuishi ULAYA/MAREKANI.