Kwa wale tulioachwa na wapenzi wetu tu

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
Kuna Watu
wanakuja katika
maisha yetu baadae
huondoka


Kuna Watu wanakuwa
marafiki zetu kwa muda tu
baadae hutoweka


Kuna Watu
wanakuja katika
maisha yetu baadae
huondokahuku wakiacha Oooo
makovu kwenye
nyoyo zetu



na wote hatupo
sawasawa katika
kufaulu kupata marafiki
wazuri !!!


Ya Jana ni Historia.
Ya Kesho ni Miujiza

Ya Leo ni Zawadi kutoka kwa Mungu.
Tunapaswa kushukuru kwa zawadi hii pekee
 

Pole Smile, shairi zuri ila naliona kama liko too philosophical hasa ubeti wa mwisho.Hivi uliachwa na nani (samahani kama hutapenda swali hili)
 
Pole Smile, shairi zuri ila naliona kama liko too philosophical hasa ubeti wa mwisho.Hivi uliachwa na nani (samahani kama hutapenda swali hili)
kuachwa ni kuachwa haijalishi niliachwa na nani?
 
Hallelujah.....
(
just in case nikiachwa na mtu chake...)
 
Inajalisha, maana kuachwa na boyfriend sio sawa na kuachwa na mume. Boyfriend you can make a substitution, but not a husband in most african societies-unakuwa umeshakuwa na doa-
oke nilikuwa sijaelewa swali lako
status ilikuwa boyfriend.a.k.a mpenzi
 
vipi jamaa katambaa au kaamua kusubiri?
 
Miongoni mwa vitu ambavyo hutajwa kuwa dawa ya stress ni kutoa maelezo kama hayo, andika chochote au cheka sana au piga story sana au fanya lile moyo wako linalotaka kwa wakati huo, naona wewe umejua dawa hii na hapa hutakaa uumie tena baada ya kujua kuwa yote yanapita bali Roho zetu na Nafsi zetu zitabaki milele na hata makovu ya maumivu hayo hayawezi kubaki milele pia.
 
Huwa naota bado nipo shule ya msingi na yule rafiki yangu huku tukikimbizana na kuleteana mahindi ya kukaanga kwa mafuta
 
oke nilikuwa sijaelewa swali lako
status ilikuwa boyfriend.a.k.a mpenzi

Pole utapata mwingine tena mzuri kuliko wa kwanza, kama u-mzuri kama kwenye avatar yako, then rest assured handsome boys are coming
 
nashukuru kwa swali lako zuri.....
ki ufupi sijaacha kovu sehemu yoyote ile....ni jambo la kujivunia sana.....
Duh basi unaweza ukawa malaika wewe? hata shule ya msingi hujawai mpiga mtu kibuti? akabaki na maumivu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…