Kwa wale tulioachwa na wapenzi wetu tu

Nimekusoma babu, kwa kweli bibi DC ana raha hata km hapati 100 per cent but hizo umpazo zamtosha mbonaa.
 
You seem to reside in the past. Like the say the more you smell a bad smell the worst it becomes.

My advice

'Facts' in the past. 'Options' in the present. 'Possibilities' in the future.
The future can not be 'predicted' but can be 'created'.
 
Inajalisha, maana kuachwa na boyfriend sio sawa na kuachwa na mume. Boyfriend you can make a substitution, but not a husband in most african societies-unakuwa umeshakuwa na doa-
kuachwa ni kuachwa tu,haijalishi umeachwa na nani!!
 
yote anapanga mungu.kwan anayeondoka anakupunguzia meng nakukupa nafas yakufanya mambo mengne zaid.kwan huwez jua kuwa hlo halikuwa chaguo lakoooo!
 
Kule kwenye chit chat babu.
Usijali picha utapata.

This baby is my everything babu, na ni kweli amenipa faraja na furaha mpya, amenipeleka kwenye new world of love, the mother to chld love. New happiness, nee energy.

Asije akathubutu kuleta pua yake i see. Patakua padogo

Niko makini sana,
 
Kwa walioachwa.. Learn to forgive and forget.. Then move on... Huyo mtu hakuwepo kwenye maisha yako kabla, akatokea na kuleta impact kwenye maisha yako, and probably ilikuwa ni muda muafaka wa yeye kuondoka.. Who knows what the future holds..
 
hujawai kuachwa wewe?
 
Nakubaliana na wewe Amyner,

Mtazamo kama huo ulinisaidia sana. Kinachonishangaza ni jinsi ambavyo sasa hivi anajidai kuwa anataka tuwe marafiki uzeeni!!

Babu DC!!
 
Kusema na kushauri ni rahisi sana ila utekelezaji ni mgumu!!mimi nimeacha hivi juzi na huyo demu kaposwa!!
 
Labda anajutia alichofanya.. Wengine wanakurupukaga tu.. Bora aombe urafiki tu asije kuchombeza mambo ya "Tukumbushane zilipendwa"!
 
Kusema na kushauri ni rahisi sana ila utekelezaji ni mgumu!!mimi nimeacha hivi juzi na huyo demu kaposwa!!

Si umemuacha mwenyewe? Kuna wengine hawapotezi opportunity.. Alipogundua umemuacha akamuwahi fasta! Cha msingi ni kuombeana mema.
 
mambo Amyner? Nimekumiss....za masiku?
 
Mi mzima kabisa kaizer.. Nimekumiss ile mbaya..i hope memo alikupa salam zangu..

ohoo..Memo tena...hajanambia...hebu ni update unajua muda kidogo nimepotea hapa...what hapenned?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…