Kwa wale tulioachwa na wapenzi wetu tu

ohoo..Memo tena...hajanambia...hebu ni update unajua muda kidogo nimepotea hapa...what hapenned?

Alot has happened.. Ntaku brief kwenye PM..
Hivi haujawahi kuachwa wewe?
 
Heri yangu mi huwa naacha! Inaonyesha ulikuwa umeweka moyo wako wote kwa jamaa polee!
 
Umeachwa kwanai mlikua mmeoana au ni kimjini mjini tu
mpaka ukawa mshairi ?
 
Kwa walioachwa.. Learn to forgive and forget.. Then move on... Huyo mtu hakuwepo kwenye maisha yako kabla, akatokea na kuleta impact kwenye maisha yako, and probably ilikuwa ni muda muafaka wa yeye kuondoka.. Who knows what the future holds..

Maneno yako matamu sana na yanaencourage.
But usicheze na kuachwa, tena pale unapokuwa inocent on the circumstance.
Inauma sana, lkn ndo hivyo, life goes on.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…