Kwa wale tuliojiajiri, kama umeshawahi kufilisika ulifanikiwa vipi ku bounce back / kurudi upya?

Kwa wale tuliojiajiri, kama umeshawahi kufilisika ulifanikiwa vipi ku bounce back / kurudi upya?

R-K-O

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
482
Reaction score
2,178
Inaweza kutokea umeibiwa, umepata ushindani mkali, sheria za serikali zimeathiri unachofanya, umechezewa michezo michafu, umeumwa, n.k.

Ukiwa na mshahara angalau unaweza kuugulia kwa wiki kadhaa mshahara ulioisha lakini una uhakika mwezi ujao upo hivyo ni wewe kujitafakari tu jinsi ya kula kwa urefu wa kamba yako, huku kwengine ni kutamu zaidi lakini pia kuna machungu makali sana asikwambie mtu, yani mziki wa kujikusanya kurudi upya baada ya kufeli ukiuweza, jijue umepata ukomavu na beji umeongeza begani ya upambanaji.

Ulifanikiwa vipi kubounce back / Kurudi upya ?
 
Nilibonyeza button ya Pause kwa mambo mengi nikaweka Focus kwenye mapambano ya Uchumi , mwisho wa picha nimejitafuta mpaka nimejipata upya na silegezi tena kamba
 
Back
Top Bottom