Kwa wale tuliopata TRANSFER kuna mtu amepata LOAN

Kimbakuli

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
408
Reaction score
435
Nilpata transfer frm TUDARCo-DUCE same course(BAED) bt loan nimekosa, wanasema Transfer inaweza kuwa 7bu, ni kweli wakuu
 
Me kuna mtu namjua tena ni diploma. ..kapata 100% ni MD
 
transfer kawaida mkopo huwa unachelewa ila badae unapata, .fuatilia tu,
 
Wamepata mbona kuna rafk yangu kato eckenford kwenda udom na kapata mkopo
 
mimi nmehama st.joseph arusha to st.joseph dsm nmepata 80%
 
jamaa watakuwa wamenichinjia kina krefu duh ngoja nikomae na kaz yng ya kuchoma mkaa, kla lakheri wenzangu mliofanikiwa
 
Wengi tu nawafahamu wamefanya transfer namkopo wamepata. Ila wengi ni zile priority kozi
 
kwani walio omba na kubadili course matokeo yao yalitoka lini wadau? na mliangalizia wapi? kuna ndugu yangu aliomba kubadili course chuo hicho hicho alicho pangiwa....naona yupo yupo tu,ajui chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…