Kwa wale tuliosoma lutheran junior seminary moro,tukutane hapa

dagii

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
4,961
Reaction score
3,752
Kwa wale tulio pitia pale hembu changia lolote unakumbuka nini hasa
 
Nilitaka kuja kusoma advance.
Nilienda kuchukua form na interview.
Bahati nzuri selection ilivyotoka nikapata shule ya ndoto yangu.
Ndo ikawa bye bye.
 
Kwa wale tulio pitia pale hembu changia lolote unakumbuka nini hasa
Kuna Mwl alikuwa anaitwa Mr Kunta nadhani...alikimbiwa na mke...wanafunzi wakabadilisha wimbo wa "Bwana Yesu. Uko wapi mpenzi wangu Rafiki" kusadifu kisa Cha Mr Kunta enzi hizo Mr Maro ni Academic Master, Mkuu was Shule Marseille na Mwambashi Director
 
Hakuna Shule ya KKKT yenye sifa ya kuitwa Seminari Kwa Sasa.
KKKT imeshindwa kabisa kusimamia Shule zake za Seminari Kwa sababu ya Kuwa na Viongozi wasiofaa.
 
Mwambishi aliku director saiv amestaaf anafindisha part time kam teacher wa biology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…