Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Kati ya ww na yeye nan alikuwa mshamba siku ile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabla ya kuletewa hayo madawa ya Wazungu na Wahindi unayotumia sasa, Mababu na Mabibi zako walitibiwa wapi na akina nani? Au hujawahi kuwauliza!
Kule upareni kuna tambiko lilikuwa linaitwa menda. Lilikuwa linafannywa kukiwa na shambulio la viwavi jeshi kwenye mazao. Wakishaona hao wadudu wameingia seheme mnatangaziwa kuwa tutakuwa na tambiko kwa ajili ya kutokomeza hao wadudu.
Wanapofanya tambiko hamruhusiwa kutumia jembe, visu au panga kukata miti au nyasi . Kama ni majani mtumie mikono kungo'oa. Na ukikaidi agizo unapigwa faini na wazee.
Yaani tambiko likifanywa hao wadudu hopotea mazima.
Ilikuwa inashangaza, hamna cha dawa za kuua wadudu ni mwendo wa tambiko.
Siku hizi watu wanaona eti ni ushirikiana baada ya kuletewa hizi dini.
 
Interesting πŸ€” .
 
Word is dust

Now you are no longer alive

Rest in peace

Trust in God
 
Ushauri mzuri sana huu. Umenisaidia nimeachana na takataka ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…