Mnatutenga tunaokata kulia pale njia panda sio?Kabla ya Christmass tukutane hapo Mo Town tuamshe, kisha Xmass tukutane chuga Kokoriko Club maeneo ya Kijefenge.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza december inakaribia wa mikoani tunaenda kupumzika kidogo vijijini. Kwa wale wakwetu kaskazini tujuzane viwanja vya kukutana. Bata linaanzia njia panda
Sijafika ila nimepewa hiyo location na machalii wananiambia December nitimbe fasi hizo twende kiota kipya hicho [emoji23]Aisee issue ya parking pale ni kwere arifu.
Babu lazima tuanzie njia panda.. Usisahau kuniwekea seat moja ya lift babu nitanunua mizinga mimi [emoji13][emoji13][emoji13]Mnatutenga tunaokata kulia pale njia panda sio?
Aisee pale hapafai chalaa angu,tena hii dec ndi patakua ni full peoples.Sijafika ila nimepewa hiyo location na machalii wananiambia December nitimbe fasi hizo twende kiota kipya hicho [emoji23]
Fasi gani inaamsha saivi hapo bakta arif?Aisee pale hapafai chalaa angu,tena hii dec ndi patakua ni full peoples.
Aisee umeongea dhahabu.... done!Babu lazima tuanzie njia panda.. Usisahau kuniwekea seat moja ya lift babu nitanunua mizinga mimi [emoji13][emoji13][emoji13]
mkuu hivi changbay bado inawika kama zamani? maana ni kitambo sanaMeku's, Hugos, Kili home, Changbay..
Kahawa tutakunywa pale KNCU..
Njia panda kiongozKama kichwa cha habari kinavyojieleza december inakaribia wa mikoani tunaenda kupumzika kidogo vijijini. Kwa wale wakwetu kaskazini tujuzane viwanja vya kukutana. Bata linaanzia njia panda
Haiwiki sana mkuu lakini ile ni old timer.. Malegend wote huwa wanapitaga palemkuu hivi changbay bado inawika kama zamani? maana ni kitambo sana