Iko pale kijenge jirani na ile Coca-cola deport boss.Hv hyo club yenye mlio wa jogoo ipo wapi hyo?
Tukutane kwa Kipanga🤣
Ipo barabara ya Arusha mbele kidogo na uwanja wa mashujaaTuelekezane ili kila mtu apajue
😀😀😀😀mji upo full yanMoshi mambo ni moto🤣🤣
Ipo barabara ya Arusha mbele kidogo na uwanja wa mashujaaView attachment 972529
Mkuu mm pia nilikuwa hapo janaHaha nipo hapa mda huu