Kwa wale ambao bado tunaendelea kusubiria malipo ya malimbikizo, tafadhali atakayepata anijulishe. Mimi bado sijapata. SMS notification nimepata jana hakuwa na kitu chochote.
Kwa wale ambao bado tunaendelea kusubiria malipo ya malimbikizo, tafadhali atakayepata anijulishe. Mimi bado sijapata. SMS notification nimepata jana hakuwa na kitu chochote
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Hilo ni wazo bora kabisa kuwahi kutokea, Mungu aendelee kuwabariki sana. Mpaka muda huu, tuna vituo vya afya vipya 92 kutokana na tozo hizo, kwa mujibu wa Waziri wa TAMISEMI.
Binafsi nafurahi sana kwamba tozo zinakusanywa halafu wenye pesa tunapewa feedback. Yaani mtu kabisa unapata ile sense kwamba Serikali inawajibika kwa wanachi. Mungu awabariki sana