Kwa wale tunaoishi kanda ya Ziwa, Tufahamiane Hapa.

Adolph Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
5,950
Reaction score
9,511
Habari wanajukwaa,
Tukutane hapa wale wote tunaopatikana Mikoa inayozunguka Ziwa Victoria ikiwemo mikoa hii :-

1:- Mara
2:- Mwanza
3:- Kagera
4:- Shinyanga
5:- Geita
6:- Simiyu
Ongeza.....

Makabila kama vile

1:- Wakurya
2:- Wajita -Wakerewe
3:- Wahaya
4:- Wasukuma
5:- Wajaluo
6:- Wanatta
7:- Wazanaki
8:- Waikizu
9:- Waissenye
Ongeza......

Tujadiliane kuhusu :-
1:- Changamoto za kimaisha
2:- Mahusiano mema
3:- Mila na desturi zetu
4:- Nguvu na uimara wa tamaduni zetu
5:- Matukio ya kila siku
6:- Jamii zetu kiujumla
7:-
Ongezea.....


KARIBUNI SANA WANA MISIMAMO

ONYO :- Matusi na kashfa ni mwiko hapa,
Mgeni Ruhusa kuuliza/ Kuchangia.
 
Mwangaluka
 
TAHADHARI

Hatupo hapa kubaguana Kikanda wala kikabila bali :-
1:- Kukumbushana mila na desturi nzuri zinazoelekea kupotea
2:- Kubadilishana ujuzi na taaluma mbali mbali
3:- Kupeana simulizi,Visa,Mikasa, na habari za kale mfano :- Visa vya Mwanamalundi (Wasukuma)

NOTE
1:- Utani wa kienzi unakaribishwa
2;- Picha za kimaadili zinaruhusiwa
3:- Taarifa, Mijadala (Mubashara) inaruhusiwa
4:-
 

Na tunaoishi Kanda ya Mgongo mbona umetusahau Mkuu?
 
Aah kumbe huku[emoji15] kanda ya ziwa ngoja nipite[emoji124]
 
Aah kumbe huku[emoji15] kanda ya ziwa ngoja nipite[emoji124]
Hapana kama unataka kujifunza kitu unaweza baki kutazama tu na kuuliza....Humu hakuna sime wala panga karibu
 
Mkuu Uzi wako futa kabsa.........ivi kabila la Wasukuma lilivyoijaza kanda ya ziwa unashindwa kulitaja kweli?........ Nina wasiwasi na akili zako ni za kibaguzi........hata hivyo huu uzi ni wa kibaguzi......hatutaki UKANDA......
 
Mkuu Uzi wako futa kabsa.........ivi kabila la Wasukuma lilivyoijaza kanda ya ziwa unashindwa kulitaja kweli?........ Nina wasiwasi na akili zako ni za kibaguzi........hata hivyo huu uzi ni wa kibaguzi......hatutaki UKANDA.......Mods futeni huu Uzi
Wasukuma wapo sema haujawaona hadi mkoa wao..... Tafadhar hatupo hapa kubaguana kikanda wala kikabila bali...
1:-Kufahamiana kiundani
2:-Kukumbusha mila na desturi zinazoelekea kupotea
3:- Ustaarabu wetu
4:- Simulizi za kale
5:- Na mengine mengi tu
HATUPO HAPA KUBAGUANA KARIBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…