Ngw'angaluka...Mwangaluka
Ng'waneneNgw'angaluka...
ngw'aguku!
Ina maana Wewe mikoa ya Geita na Simiyu hukuindika kwa kuwa wino umeisha au??Habari wanajukwaa,
Tukutane hapa wale wote tunaopatikana Mikoa inayozunguka Ziwa Victoria ikiwemo mikoa hii :-
1:- Mara
2:- Mwanza
3:- Kagera
4:- Shinyanga
5:- .....
Ongeza.....
Makabila kama vile
1:- Wakurya
2:- Wajita -Wakerewe
3:- Wahaya
4:- Wasukuma
5:- Waisenye
6:- Wanatta
7:- Wazanaki
8:- Waikizu
Ongeza......
Tujadiliane kuhusu :-
1:- Changamoto za kimaisha
2:- Mahusiano mema
3:- Mila na desturi zetu
4:- Nguvu na uimara wa tamaduni zetu
5:- Matukio ya kila siku
6:- Jamii zetu kiujumla
7:-
Ongezea.....
Heshima za dhati ziwaendee :-
1:- The late President Mwl J.k Nyerere .
2:- The fith President of Tanzania Hon :- J.P Magufuri.
3:- Judge Agostin Sinde Waryoba.
4 :-
Ongezea....
KARIBUNI SANA WANA MISIMAMO
ONYO :- Matusi na kashfa ni mwiko hapa, kama ahusiki kaa KIMYA...
Ng'wanene
sijuh uvuvi haramu huenda ndo chanzo cha yote hayoSangara wamepungua sana ziwa Victoria, nasikia kuna visiwa vimefungwa kabisa hairuhusiwi kuvua ni kweli..?
Hali ikiendelea hivi huenda baadhi ya viwanda vya samaki vikafungwa na hivyo kusababisha maelfu ya vijana kupoteza ajira zaosijuh uvuvi haramu huenda ndo chanzo cha yote hayo
viwanda on air awamu hii ya tano nahis si viwanda bali factoriesHali ikiendelea hivi huenda baadhi ya viwanda vya samaki vikafungwa na hivyo kusababisha maelfu ya vijana kupoteza ajira zao
InkindigiriNilanjage ulwimbo guku
Wala hujakoseaNi jaluo au nimekosea miss..??
Habari wanajukwaa,
Tukutane hapa wale wote tunaopatikana Mikoa inayozunguka Ziwa Victoria ikiwemo mikoa hii :-
1:- Mara
2:- Mwanza
3:- Kagera
4:- Shinyanga
5:- Geita
6:- Simiyu
Ongeza.....
Makabila kama vile
1:- Wakurya
2:- Wajita -Wakerewe
3:- Wahaya
4:- Wasukuma
5:- Wajaluo
6:- Wanatta
7:- Wazanaki
8:- Waikizu
9:- Waissenye
Ongeza......
Tujadiliane kuhusu :-
1:- Changamoto za kimaisha
2:- Mahusiano mema
3:- Mila na desturi zetu
4:- Nguvu na uimara wa tamaduni zetu
5:- Matukio ya kila siku
6:- Jamii zetu kiujumla
7:-
Ongezea.....
KARIBUNI SANA WANA MISIMAMO
ONYO :- Matusi na kashfa ni mwiko hapa,
Mgeni Ruhusa kuuliza/ Kuchangia.
Daaah yaani navionea huruma ..mfano kile cha Makoko (Musoma) na kile cha pale mjini hivyi sasa hawachukui wafanyakazi kama awali....Hali ikiendelea hivi huenda baadhi ya viwanda vya samaki vikafungwa na hivyo kusababisha maelfu ya vijana kupoteza ajira zao
HahaaaInkindigiri