Kwa wale tunaotembea na waume za watu

kuna wakati ulikuwa unalia sana hapa jf kuwa mumeo anakutesa so umeamua kutoka na mume wa mtu kabisa ndio suluhisho?
mm mwanaume lakini kutembea na mke wa mtu hapana bora nikamate vipanya kuliko mke wa mtu
huyo bwana watembea nae hana aibu kabisa labda mke wake nae kicheche akaamua kuja kwako
siku utakuja kuliwa tigo na mabaunza 6 watakaotumwa na mke wa huyo bwana tena wakikuchanganya wawili wa mbele aende mbele na wa nyuma ende nyuma sijui kama utapona siku zako zinahesabika
tulia kwako na mpendwa wako acha hizo.
 
Jamani kunawengine wanavyoandika kwa uchungu kujibu mashambulizi wanafikiri ni dawa ya kutibu hilo tatizo la nyumba ndogo,hizo zipo tu hatunaujanja nazo,
 

Koma kuchukua waume wa watu, tena ukome kama ulivyokoma kunyonya titi la mamako. Yaani ingekuwa nina mamlaka ya kuadhibu wazinzi, ningekuwa nawafanya mng'ang'aniane vikojoleo vyenu kwa muda wa mwezi mzima.
 
ebu fikiria ungefanyiwa au yakukute wewe ungefurahi
Jamani kunawengine wanavyoandika kwa uchungu kujibu mashambulizi wanafikiri ni dawa ya kutibu hilo tatizo la nyumba ndogo,hizo zipo tu hatunaujanja nazo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…