Kwa wale tunaotembea na waume za watu

Haya wanaume wenye nyumba ndogo,,,,,,,,, (Bishanga)njooni huku mpatiwe somo !!!
 

Tufanye sasa wewe una mumeo, mmeoana baada ya kuhangaika na waume za watu siku nyingi, mdada mwingine anakuchukulia huyo mumeo na kwenda kufanya naye uchafu hukoooo!........... Kisha unamfumania, je utakumbuka kuwa na wewe ulikuwa unafanya uchafu huo huo kabla ya kuolewa, na hivyo unawaacha waendelee? Bila shaka utakuwa wa kwanza kupiga kila aina ya mayowe kutangaza kuwa unaibiwa; Ndivyo inavyokuwa shida kwa hao unaowachukulia waume zao, wakikufuma!!!??......... Eh! Dada usichukue waume za watu, inauma, mwenyewe akikuona au kukusikia.
 

Note Enough na wewe ukome kuchukua waume za watu kama hukudanganywa kwa sababu;
  1. Ulipochukua mume wa mtu ulijua lazima mke wake atamfuatilia kujua yuko wapi na anafanya nini hivyo ni lazima apokee simu na kumridhisha mke wake kuwa yupo sehemu salama wakati siyo.
  2. Ukubali visingizio vyote vya mume wa mtu kwa kuwa mpo kwa ajili ya kuenjoy tu na si lolote.
  3. Upunguze wivu ili usijulikane na mkewe ili udumu nae huyo mume wa mtu vinginevyo tafuta wako uibiwe uone uchungu wake!!!!
 
Wote wawili mkome. Wewe: kuchukia mwanamke mwenzio kupendwa na mumewe (anaekupenda atakutaja taja hasa kwa mazuri).
Yeye: akome kutothamini uwepo wako na kumwaza mkewe. Ila wewe ndio ukome zaidi ujue.
 
Tafuta wako bwana, kwanza ni lazima uwe na mume wa mtu????
Hivi unajisikiaje kuwa na mume wa mtu, halafu mnafanya mapenzi kwa kujiiba iba???

Mungu aniepushe kwa hili!

Licha yakujiiba kwanza ni dhambi na humpati wakati wowote ukimwitaji ni bora ujitjaftie wako utakae kuwa nae wakati wowote na utakuwa na uhakika wakuwa safe zaidi
 
not enough, waume za watu is a game. Tatizo ni usipende ki ukweli, mie naye mmoja wa mtu tulishibana kweli. Tatizo aliponiacha baada ya mkewe kutubamba nilikoma

ila ashanunua housi, kazi ya kuniweka mjini na mwanae anamlipia ada shule standard. Na nikiwa na ishu namfuata kiulaini.

Jizuie kumpenda kiukweli maana lazima atarudi kwa mkewe siku moja.
 
Nakutakia kila la kheri,
Halafu sio mabinti wote wenye kutembea na waume za watu, ni nyie wa huko huko kanga moko!
 
Hivi jamani mwanamke na akili zako anakuaproach mwanaume na unajua ana mke afu unamkubali unakuwa unafikiria nini wakati siku zote mwisho wa ubaya aibu na dunia ilivyo haina siri, hiyo siku yakuja kuumbuka ndo unataka ujifunze badala yakuangalia madhara yake kwanza ndy uchukue uamuzi
 
How sad is that. . . .
We unaringishiwa aliyofanya na mkewe wakati mkewe hata hajui kuna mtu anaitwa NE hapa duniani. Utalamba na kusafisha vyombo vya watu mpaka lini? have some self respect and find your own.
 
Napita tu ( kumbe tunasifiwa mpaka nje. lol. nilidhani twasifiwa ndani tu)
Wote wawili mkome. Wewe: kuchukia mwanamke mwenzio kupendwa na mumewe (anaekupenda atakutaja taja hasa kwa mazuri).
Yeye: akome kutothamini uwepo wako na kumwaza mkewe. Ila wewe ndio ukome zaidi ujue.
 
Not Enough hebu kivue hicho kiatu kimekuzidi.
 
Last edited by a moderator:
Duhh inaelekea uko kimaslahi zaidi wewe,sasa ngoja siku mwenye mali asanuke walahi utakujakojoa dagaa au utaingia ktk siku zako non stop, shauri yako.
 
How sad is that. . . .
We unaringishiwa aliyofanya na mkewe wakati mkewe hata hajui kuna mtu anaitwa NE hapa duniani. Utalamba na kusafisha vyombo vya watu mpaka lini? have some self respect and find your own.

Liz ndio niko kwenye harakati za kutafuta wakwangu sasa na busy na huyu wa mtu kwanza
 
baada ya kumponda sana huyu NE, hivi hizi sheria za infidelity au nyumba ndogo mwazitumia na akina nani?

Wadada tusiwe wanafiki, naamini si NE pekee aliyegonga mme wa mtu.

Wakaka wakipeana hints tunachekelea kama mashujaa NE anatupa uzoefu tunamsulubu.NE usijali wwape ukweli wao, kama yy ni mme wa mtu na ww ni mtoto wa mtu. Kwa hiyo wote ni wa watu.
 

NYUMBA NDOGO at work
 
Liz ndio niko kwenye harakati za kutafuta wakwangu sasa na busy na huyu wa mtu kwanza
Shida ya wanawake dizani yenu hamtaki wanaume wa kawaida na ndiyo maana mnadandia wanaume za watu kwa mantiki ya kuwatekelezea mnayoyataka ikiwemo kuwanunulia magari, kuwapa mitaji mikubwa mikubwa na mambo mengine mengi.
 

bata anaharisha, kuku anakunya lakini vyote ni vinyesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…